Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Halafu kwanini unajiita masikini?
Mi sipendi Bwanaa
Mi sipendi Bwanaa
Mimi tajiri lazima nionane naye na atakuthibitishia Acha shoboNdoa za jinsia moj
Me niko poa pia, nichum kidogo basi nami nipate kupoza machungu ya kazi za mchana kutwa.Nipo,nambie my babe
Oooh sipendi kuona umechukia nitakuomba unipe jina jipya ikifika wakati.Halafu kwanini unajiita masikini?
Mi sipendi Bwanaa
😍😍😍Mimi tajiri lazima nionane naye na atakuthibitishia Acha shobo
Tajiri sina baya,kwann umeacha kutumiaOooh sipendi kuona umechukia nitakuomba unipe jina jipya ikifika wakati.
Nakuchumu Mmwaaaa❤️❤️❤️Me niko poa pia, nichum kidogo basi nami nipate kupoza machungu ya kazi za mchana kutwa.
Nimeyumba wangu utajiri umeyeyuka, kama umelipenda nitaweka kwa ajili yako love.Tajiri sina baya,kwann umeacha kutumia
Nakuchumu Mmwaaaa❤️❤️❤️
Wewe dini gani,Woooow safi, hivi kwa wazee ni wapi nipange safari ya posa, au kwenu mnaoana kwa tamaduni ipi?
SawaNimeyumba wangu utajiri umeyeyuka, kama umelipenda nitaweka kwa ajili yako love.
Mimi sina dini, ila ndugu zangu wanajua mimi ni muislamu.Wewe dini gani,
Una umri gani,
Na unafanya kazi gani.
Intelligent businessman@Kijana Masikini rais ajae wa chama cha majobless pro max.
Mimi sina dini, ila ndugu zangu wanajua mimi ni muislamu.
Kazi nafanya yoyote ya halali sina kazi maalum.
Umri ni kati ya 35-45.
Mkuu nachati na Mama watoto sasa kwenye huu uzi, usimwite huyo jamaa atakuja kuharibu mazungumzo yetu.
Kwahiyo kikwazo hapo ni kipi tuone namna ya kukitatua ili kufanikisha hili jambo?Wewe ni muislam,
Ni jobless,
Umenizidi pakubwa mno
Dini yakoKwahiyo kikwazo hapo ni kipi tuone namna ya kukitatua ili kufanikisha hili jambo?
Sio shida naweza kuja kwenye dini yako kwa sababu yako.Dini yako
Karibu sana,vipi tutaonana liniSio shida naweza kuja kwenye dini yako kwa sababu yako.