Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Nyie nishawagundua huenda mnanichora,kwaherini
 
Laaziz wewe kuwa na Amani, moyo wangu umekuchagua wewe ,nakupenda kama nyota ya zohari,kama upo serious na mm ubarikiwe ,kama unafanya masihara Mungu akuongoze ila mwenye kupitisha kila Azimio langu ni dadangu lamomy
♥️♥️♥️♥️♥️Wooow♥️♥️♥️♥️♥️
 
Laaziz wewe kuwa na Amani, moyo wangu umekuchagua wewe ,nakupenda kama nyota ya zohari,kama upo serious na mm ubarikiwe ,kama unafanya masihara Mungu akuongoze ila mwenye kupitisha kila Azimio langu ni dadangu lamomy
Sasa Dada Lamomy Ukishamaliza kuwaamulia hawa jambo lao chapu basi tumalize na la kwetu achna na hii hbar ya kuweka tomato kwenye chupsi na unajua sili tomato
 
Asante mkuu 🙏
Uhakikishe kila siku anapata supu ya sato kilo moja, matunda mchanganyiko, jioni umpatie mbuzi choma, pia awe anapulizwa na kiyoyozi; muhimu tu ngozi yake iendelee kung'ara.

Agalia sana usije ukamlishwa michembe na matoborwa 😀​
 
Asante sana mkuu, nitafata ushauri wako kwa asilimia zote ila michembe na matoborwa sivijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…