Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Sasa huu ni uchokozi, wivu wa kijinga, kutafuta ugomvi.Unakuta mwanamke anajua hadi kupekenyua hadi hidden filles kwenye simu ya mume wake😂😂😂😂anajua hadi kwenda kutafuta picha zilizofutwa huko kwenye bin anazirudisha.😂😂
Hii haihusiani na kuwa na upeo.
Nilikuwa na mpenzi IQ sifuri lakini ukisinzia tu lazima akomae kusachi simu.
Mimi simu ya mke au mpenzi siwezi kukaa naichunguza labda niwe nina sababu maalumu.