Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto ndani pachangamke sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Kuna demu tulikuwa tunalala tunabishana vita vya ukraine na rusia usiku kucha.
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto ndani pachangamke sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.

Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
If that is the case, naomba nitangazie Umma kuwa I'm officially a man!!!
 
Ni kweli

Unakuta anakupangia hadi lineup ya kikosi cha Simba kilichomtoa Zamalek mwaka 2003 pamoja na subs zake.

Na hali huwa mbaya zaidi kama akiwa ni mkosoaji.
Kuna mwanamke nilipanga kumwoa ila nilimwacha kwa sababu alikuwa anamkosoa Kila aliyekosea kutamka majina ya vilabu vinavyoshiriki ligi kuu ya ujerumani kama Pascal Mayalla alivyokuwa anawakosoa watangazaji wa E A Radio miaka ile alipokuwa akifanya kazi pale kwa muda.
 
shida yetu kubwa wanaume ni hii

tunataka mwanamke awe kama tunavyotaka sisi kwenye kila kitu

we are control freaks
Dogo kwa taarifa tu ni kwamba usipo m-control mwanamke basi ataku-control yeye na hakuna kitu kama kucontroliana.... Najua nyie vijana wa kisasa mko stupified na usawa wa kijinsia na wakati katika ulimwengu halisi hakuna usawa kwenye jambo lolote lile.
 
Back
Top Bottom