Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Unakuta mwanamke anajua hadi kupekenyua hadi hidden filles kwenye simu ya mume wake😂😂😂😂anajua hadi kwenda kutafuta picha zilizofutwa huko kwenye bin anazirudisha.😂😂
Sasa huu ni uchokozi, wivu wa kijinga, kutafuta ugomvi.

Hii haihusiani na kuwa na upeo.
Nilikuwa na mpenzi IQ sifuri lakini ukisinzia tu lazima akomae kusachi simu.

Mimi simu ya mke au mpenzi siwezi kukaa naichunguza labda niwe nina sababu maalumu.
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto ndani pachangamke sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Nina wangu aliniuliza hizo bomu zinazo pigwa Hamas kuna siku hazitafika Dar es salaam?.....nika mjibu usijali mke wangu ziko mbali sana, kauliza ubali kutoka hapa mpaka kupita Morogoro nika muambia ndiyo, akaendelea na kazi zake za ku pika simple like that. [emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto ndani pachangamke sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Kwa level ya maisha yako, ni sawa, ka mishahara, au, ka ajira, kanyumba ka moja, kashamba, ka ist, basi, nothing more nothing less, Ila kina sie, tunataka mke awe na akili za Eron musk, au Bill Gates, maana maisha yetu hayaishii kujenga majumba, kuwa na mavogue,na kusomesha watoto English medium kwa 4+M, tunawaza kizazi, chetu cha tano kutoka sasa hv, kitaishije!
Sasa kama wewe ni kama Baba levo, mke mwenye akili kubwa Sana wa nini? We pata yule anayetafuta story za Balthazar endonga kuanzia asubuh mpaka jioni
 
Uko sahihi, mwanamke anatakiwa awe best friend.

Best friend ni mtu ambae mnaendana kwny mambo mengi, mkitaka kuidis stoicism mnaidis tu.

Mwanamke ambae hamuwezi kubishana kwa hoja anaboa.

Anakuwa na kazi ya kufanya usafi tu na kupanua mapaja. Ukimaliza hapo unaanza kutafuta watu wa kujadili nao ligi ya uingereza!
Mke ni mke siku zote hawezi kufanya kazi ya kua rafiki kila mtu ana role yake hapo ndo mnajidanganya bure.
 
Lakini wanawake wengi, mitandao yao Facebook, instagram, tiktok na mitandao za umbea umbea, radio watasikiliza vipindi vya umbea umbea, ukimkuta anayefuatilia dini basi channel utakaso kuta kwenye ni TV ni Upendo tv, Arise ya mwamposa
Ni kweli hata huku JF wanawake wengi wanasoma titles za threads pekee wakifika kwenye comments wanamwaga tu likes kama min -me na raraa reree. Ukitaka kuamini hilo mfuatilie leo dada pamoja na Be calm.

Hawasomi comments kabisa.
 
Kwa level ya maisha yako, ni sawa, ka mishahara, au, ka ajira, kanyumba ka moja, kashamba, ka ist, basi, nothing more nothing less, Ila kina sie, tunataka mke awe na akili za Eron musk, au Bill Gates, maana maisha yetu hayaishii kujenga majumba, kuwa na mavogue,na kusomesha watoto English medium kwa 4+M, tunawaza kizazi, chetu cha tano kutoka sasa hv, kitaishije!
Sasa kama wewe ni kama Baba levo, mke mwenye akili kubwa Sana wa nini? We pata yule anayetafuta story za Balthazar endonga kuanzia asubuh mpaka jioni
Balthazar Endonga?
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto ndani pachangamke sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Mwanamke anatakiwa kama Taifa Stars wanacheza na Misri aulize kuwa Sasa YANGA ndo wako wapi?
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto ndani pachangamke sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Kweli kabisa hata Hesabu ajue kwa mbalii!
 
Back
Top Bottom