Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Sasa huu ni uchokozi, wivu wa kijinga, kutafuta ugomvi.Unakuta mwanamke anajua hadi kupekenyua hadi hidden filles kwenye simu ya mume wakeππππanajua hadi kwenda kutafuta picha zilizofutwa huko kwenye bin anazirudisha.ππ
Nina wangu aliniuliza hizo bomu zinazo pigwa Hamas kuna siku hazitafika Dar es salaam?.....nika mjibu usijali mke wangu ziko mbali sana, kauliza ubali kutoka hapa mpaka kupita Morogoro nika muambia ndiyo, akaendelea na kazi zake za ku pika simple like that. [emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto ndani pachangamke sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.
Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.
Kwako msomaji nini maoni yako?
wangu alikuta naangalia mpira timu ya taifa ya Spain, anaulizia mbona Mess hayupo, nikasema hapa ndio penyewe, yaani wachezaji anaowafahamu ni Messi, Ronaldo na RonadinyoMi wangu aliposema Hanang ni china ule wakati wa mafuriko ya matope nikajua kazi ipo
Ila yuko poa sana
Kwa level ya maisha yako, ni sawa, ka mishahara, au, ka ajira, kanyumba ka moja, kashamba, ka ist, basi, nothing more nothing less, Ila kina sie, tunataka mke awe na akili za Eron musk, au Bill Gates, maana maisha yetu hayaishii kujenga majumba, kuwa na mavogue,na kusomesha watoto English medium kwa 4+M, tunawaza kizazi, chetu cha tano kutoka sasa hv, kitaishije!Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto ndani pachangamke sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.
Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.
Kwako msomaji nini maoni yako?
Safi mno, mnabishana hadi mnagombana halafu unampa na kitombo.mnabishana hadi mnagombana,
Inatakiwa iwe hivyo sio mwanamke anajua hadi mfumo wa 4-1-3-1wangu alikuta naangalia mpira timu ya taifa ya Spain, anaulizia mbona Mess hayupo, nikasema hapa ndio penyewe, yaani wachezaji anaowafahamu ni Messi, Ronaldo na Ronadinyo
Mke ni mke siku zote hawezi kufanya kazi ya kua rafiki kila mtu ana role yake hapo ndo mnajidanganya bure.Uko sahihi, mwanamke anatakiwa awe best friend.
Best friend ni mtu ambae mnaendana kwny mambo mengi, mkitaka kuidis stoicism mnaidis tu.
Mwanamke ambae hamuwezi kubishana kwa hoja anaboa.
Anakuwa na kazi ya kufanya usafi tu na kupanua mapaja. Ukimaliza hapo unaanza kutafuta watu wa kujadili nao ligi ya uingereza!
Upunguze na wewe unafahamu vipi military officer ranks ya putin and all security agencies? Kwanini wewe jasusi? Et bintiKila mtu ana chaguo lake
Ni kweli hata huku JF wanawake wengi wanasoma titles za threads pekee wakifika kwenye comments wanamwaga tu likes kama min -me na raraa reree. Ukitaka kuamini hilo mfuatilie leo dada pamoja na Be calm.Lakini wanawake wengi, mitandao yao Facebook, instagram, tiktok na mitandao za umbea umbea, radio watasikiliza vipindi vya umbea umbea, ukimkuta anayefuatilia dini basi channel utakaso kuta kwenye ni TV ni Upendo tv, Arise ya mwamposa
Balthazar Endonga?Kwa level ya maisha yako, ni sawa, ka mishahara, au, ka ajira, kanyumba ka moja, kashamba, ka ist, basi, nothing more nothing less, Ila kina sie, tunataka mke awe na akili za Eron musk, au Bill Gates, maana maisha yetu hayaishii kujenga majumba, kuwa na mavogue,na kusomesha watoto English medium kwa 4+M, tunawaza kizazi, chetu cha tano kutoka sasa hv, kitaishije!
Sasa kama wewe ni kama Baba levo, mke mwenye akili kubwa Sana wa nini? We pata yule anayetafuta story za Balthazar endonga kuanzia asubuh mpaka jioni
Mwanamke anatakiwa kama Taifa Stars wanacheza na Misri aulize kuwa Sasa YANGA ndo wako wapi?Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto ndani pachangamke sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.
Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.
Kwako msomaji nini maoni yako?
Kwamba na mimi ni mwanamke mkuu?πππNi kweli hata huku JF wanawake wengi wanasoma titles za threads pekee wakifika kwenye comments wanamwaga tu likes kama min -me na raraa reree. Ukitaka kuamini hilo mfuatilie leo dada pamoja na Be calm.
Hawasomi comments kabisa.
Labda anamaanisha wanawake wenye uwezo hadi wa kuongoza nchi hawafai kuolewa!Mkuu,
Unajua mpaka nchi inaongozwa na mwanamke?
Nilipanga nikuoe lakini kwa tabia hii ya kupekenyua hidden file aah.....Unakuta mwanamke anajua hadi kupekenyua hadi hidden filles kwenye simu ya mume wakeππππanajua hadi kwenda kutafuta picha zilizofutwa huko kwenye bin anazirudisha.ππ
Nani huyo kama sio wewe ππ, mnamkera sana Dr JeremiahsUnakuta mwanamke anajua hadi kupekenyua hadi hidden filles kwenye simu ya mume wakeππππanajua hadi kwenda kutafuta picha zilizofutwa huko kwenye bin anazirudisha.ππ
Kumbe huyu ndo jamaa ako?. Bas sawaNgoja nitafute hizo akili za kitoto, kumbe naboa na sijui.
Kweli kabisa hata Hesabu ajue kwa mbalii!Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto ndani pachangamke sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.
Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.
Kwako msomaji nini maoni yako?
Ewaa kunywa chochote hapo ulipoMwanamke wa hivyo anaboa raha ya Mwanamke ajue vitu vingi mkae mbishane mcheke mfurahi , nakubadilishana mawazoπ€π€π€
Sio unakua na mwanamke yeye kama goigoi tu kila kituπ