secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Demu aneyetumia maneno haya hapa chini katika chatting huwa ananifanya nitapike hata kama sijala chochote.Mwanangu upo kama mimi jembe langu Yan sipend demu wa "ndio " au yule wa ", niambie" afu unakuta amekuchek yeye
Eti, niaje,
nigani,
uhakika,
ni gudi,
kama kawa?