Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Hiyo kuogopa kuwa hamtaelewana ndiyo kuogopa maisha kwenyewe huko.

Kwa nini huoni kuwa mke mwenye akiki nyingi ndiye atakupa challenge ya wewe hata kujiendeleza zaidi?

Yani ukizubaa kidogo mara mke kakupa mipango ya kuweka vitegauchumi kwenye stock market, mara kwenye crypto currency.

Unaogopa maisha tu.
Challenge ya nini katika ndoa? Ndoa sio siasa kwamba unahitaji mpizani ili ujipange vizuri. Na mke usimfanye kua business partner au consultant wa biashara zako, mke sio kitega uchumi kwa familia .
 
Unaishi sayari ya Mars? Huoni kina Jeff Bezos na matajiri wengine wanavyolia baada ya talaka. Kamwe mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume. Mwanamke ni dhaifu kwa asili. Kulikuwa na wanawake wangapi waliokuwa wanaokoa watu Kkoo? Suala la mwanamke kuwa chini ya mwanaume ni la asili na sio kwamba kuna uonevu. Sisi watu wa riadha tuna ushahidi usiotia shaka. Kwenye marathon mwanamke hata afanye mazoezi kiasi gani na hata awe na kipaji kiasi gani hawezi ingia top ten kama matokeo yakichanganywa pamoja na ya wanaume.

Mmmh! Jeff na Bill ni wahanga wa mfumo Dume Mkuu, kwenye equal rights world Mwanamke hawezi kupewa mali za mumewe Kwa sababu tu kwamba ye ni Mwanamke. Hujajua kitu... Tukipractice pure equal rights ujue hata kwenye ndoa Kila Mmoja ataondoka na kilicho chake yaan alichotafuta mwenyewe.. kinyume na hapo haitakua haki sawa Tena

Utofauti wa kimaumbile ni sawa tu maan hata sis wanaume hatuwezi kubeba mimba ama kunyonyesha... Hiyo notion ya Mwanamke kuwa chini ya Mwanaume ni ubatili TU na kumkandamiza Mwanaume.
 
MWANAMKE akiwa na akili za kitoto huyo anakuwa ni MTOTO/msichana na sio mwana



Ni HATARI sana kuoa MTOTO/msichana b'se NDOA ni taasisi mama hivyo inahitaji watu walio pevuka kiakili 👉 wana na sio Watoto
 
Umenichekesha sana, jana nimeulizwa kwenye uchaguzi huu raisi anaegombea ni nani!! Kuna namna inafurahisha na kukera!
Yessss..... Mke anatakiwa kuwa hivi Sasa😂😂😂😂😂
Yan hapo ungemwambia hata ni Lipumba na Mwamposa, mtoto wa watu hana cha kubisha!!
Tena unamsisitiza hakikisha unamchagua Mwamposa kabisa
 
Hiyo kuogopa kuwa hamtaelewana ndiyo kuogopa maisha kwenyewe huko.

Kwa nini huoni kuwa mke mwenye akiki nyingi ndiye atakupa challenge ya wewe hata kujiendeleza zaidi?

Yani ukizubaa kidogo mara mke kakupa mipango ya kuweka vitegauchumi kwenye stock market, mara kwenye crypto currency.

Unaogopa maisha tu.
Mkuu mke akupangie mipango wewe, akupe challenge wewe. Wa kwangu nitampangia mimi na maswala ya uchumi sio kazi yake. Kazi yake ni kuitunza ndoa, kufanya ibada kulea watoto kwenye maadili, ndani pawe sawa basi. Yaani akili yake na passion yale yote iwe kwa Mungu, Mume, watoto na ndoa kiujumla maswala ya Crypto currency na fore wafanye wengine.

Kama huko ndio kuogopa maisha basi mimi ni mwoga namba moja wa maisha.
 
Back
Top Bottom