Rai kwa vyama vya upinzani Tanzania: Daini Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2020!

Hoja ile pale, CUF walishafanya hivyo, mpongeze Raila kwa kuiga CUF ya Tanzania, kisha tufunge thread
Mkuu kama inakukera, si uondoke tu ukachangie nyuzi nyingine? Waache watu watoe maoni yao. Uzi huu haufungwi, na sasa una page kadhaa.
 
This is irrelevant mkuu I mean COURT ruled that IEBC should make sure the fresh elections are held in line with existing laws which included ballot papers to have security features but same problem they lack the features that is enough for odinga to back off from the ALREADY-PRE DETERMINED October 26 elections but u are not concerned about that rather your only concerntrating on Railas decision to abort his candidacy ! Are you serious mkuu??

Mahakama ilitaka uchaguzi urudiwe ila kufuata sheria zilizopo ssa kma NASA inaona sheria hazijafuatwa unataka wafanyeje??
 

Waendelee kugoma hivyohivyo!

wacha tusubiri kifuatacho ...
 
Walimuunga mkono sababu ya uhuru wa kufanya siasa thats ila kuhusu utata wa matokeo mbona lisu kwa niaba ya chama alipongeza ushindi wa kesi ya odinga?? Kusupport mtu hutakiwi kuingilia sovereignity yake mbona hushangai magufuli kumpongeza kenyatta kushinda ilihali uchaguzi ukaonekana batili???

Yaani kwahyo ccm kwakuwa NRM ni rafki ya CCM basi ina maana hta wakisupport ushoga ccm itafuata??? Jibu ni hapana unakubaliana na mambo machache muhim ndio maana mandela alimsupport gadaffi ilihali alikua dikteta?? Simply sababu alimchangia pesa za kupigania uhuru

So hakuna double standard yoyote hapo
 
mkuu hawa chadema wana matusi sana lakini akili zao Kama za mtoto mdogo. Ndiyo maana viongozi wanajua namna y'all kuwadanganya kila kukicha. Kamabsi Odinga kuwa personal friend na JPM ungeona press conference na kushutumu lakini wao rafiki ya adui wako ni adui yako
 
Mkuu, mimi sina maneno mengi. Ninachokisubiri mimi ni hiki.
Serikali ya JMT kupitia Ikulu kumpongeza Rais Uhuru Kenyata kwa kuchaguliwa tena kwa kishindo, na wakati huo huo kutakuwa na salamu za pongezi kutoka CHADEMA kumpongeza Rais Uhuru Kenyata kwa kuchaguliwa tena kwa kishindo, pengine na vijembe ndani yake kwa Raila Odinga na opposition side yote ya Kenya.

Waaaoooooo. What a coincidence 😀😀😀😀😀😀
 


Siyo kweli hauzielewi Siasa za Kenya! Siasa za Kenya ni za Kikabila, yaani Kiongozi wa Chama Kenya ni Kiongozi au Mfalme wa Kabila fulani, hivyo basi yuko pale kwa ajili ya kuwakilisha Kabila lake maana yake ni kwamba hilo Kabila lote kwa ujumla wake liko nyuma yake akifanikiwa Kabila limefanikiwa akishindwa Kabila limeshindwa, ndo maana Raila Odinga ana backing ya Wajaluo 100% na wale wote wenye uhusiano na Wajaluo hivyo akishinda Mjaluo kashinda akishindwa hivyo hivyo, na hiyo ndiyo tofauti!

Sasa hiyo aina Siasa haijaanzia 2007 bali ni ya tangu Ukoloni, Muingereza alitengeneza hivyo aliita divide and rule ili awatawale wote. sasa Tanzania haikupitia hizo Siasa za divide and rule, hivyo huwezi kuleta Siasa za Kenya Tanzania hata ufanye nini kwa maana Watanzania labda ukiondoa Wachaga hawaoni kama kukiwa na Waziri wa kutoka kwao basi yeye anawawakilisha wao, ...
 


Maalim Seif akipita katika koment hii ana kitu cha kujifunza.
 
Kwa hiyo unataka vita damu imwagike ndio ujue chadema inapendwa,sisi ni watu wa amani we baki na akili yako nyeusi kama makalio ya gigy money
 
Uzi umefikisha page ya 6.
Haufungwi 😉
Inategemea kinachojadiliwa ni nini. Inawezekana hoja mahususi imeshafungwa, zinabaki soga kama hizi tunazopiga. Mfano wewe hapo ulivyoandika, post yako imezungumzia nini kuhusu thread? So ni sawa tu na kusema hakuna hoja mpya, stori tu za kukata foleni
 
Basi piga kimya.
 
hakuna sababu ya kususia mbona sisi wananchi tumeshaichoka hiyo CCM? sisi ndio tutakaopiga kura kuiondoa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…