Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

Mashoga ya kizungu yakishafi..ana na kuchoka, yanaanza kutafuta wapi tupake mavi
Naona wameamua kushoboka na Iran, halafu ukiingia kusikilaza video wanaongelea taliban 🤣 🤣
 
1.Chanzo cha habari? 2. Iran, Human population yake ni ngapi ili tukokotoe kama hao wanaobadili dini ni "a significant figure"
 
Mashoga ya kizungu yakishafi..ana na kuchoka, yanaanza kutafuta wapi tupake mavi
Naona wameamua kushoboka na Iran, halafu ukiingia kusikilaza video wanaongelea taliban 🤣 🤣
Kuna mashoga mengi sana tena Maimamu huko USA, CANADA, Ulaya na S.Africa. nikutajie wachache ambao bado wana misikiti yenye waumini kibao?

Mashoga yamejaa hata Uarabuni
 
Kuna mashoga mengi sana tena Maimamu huko USA, CANADA, Ulaya na S.Africa. nikutajie wachache ambao bado wana misikiti yenye waumini kibao?

Mashoga yamejaa hata Uarabuni
kweli kabisa ushoga n tabia ya mtu haijalishi dini.
 
Haleluya
 
sawa mdogo wake yesu, mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia,

siku akikutoa bandama ndo utajua hujui.
Kwaiyo ukilipiza ndo unakua sehemu ya Mungu au Shetan.
Mungu anasema usilipize kisasi maana hiyo ni juu ya mwenyezi Mungu
 
Reactions: 511
siku nikisikia kichwa cha ayatoula kimeliwa itakuwa poa sana, badala ya kuwaza maendeleo ya nchi anawaza kujenga misikiti na kufadhili ugaid, bure kabisa.
ndiyo mana Tanzania tumewapita sana kimaendeleo....
 
Safi Sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…