All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,569
Na kwa kauli ya Prezda jana wakati anazindua jengo la chuo cha Jeshi kunduchi sasa naweza amini DAB a.k.a Paul makonda huenda akashtakiwaKama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Saabaya.
View attachment 2010778