Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Huu ndio uhuru na Demokrasia tuitakayo, yaani gazeti linajiandikia tu habari zisizoeleweka...sasa hapo ukisoma habari yenyewe kichekesho...

Kwa mujibu wa mtonyaji wetu....halafu front page kabisa...
Huna akili wewe yaani unajifanya unazijua sheria za nchi kuliko wenzako?
 
Ingependeza zaidi tungepata habari kamili kabla ya kuchangia.

Haya magazeti ya Bongo mara nyingi kichwa cha habari na habari yenyewe ni vitu viwili tofauti.
 
Huna akili wewe yaani unajifanya unazijua sheria za nchi kuliko wenzako?

Kwako wewe ni sawa tu gazeti kuandika utumbo kama huo....habari front page na headline kuubwa huku kilichoandikwa hakieleweki...
 
Ok, ngoja tuone.

Ila Makonda awe makini, hilo kosa linaweza "kutengenezwa" lifanane na lile la Sabaya limpeleke jela na yeye, nikiangalia kwa jicho la tatu naliona litamkalia vibaya sana, na awe makini zaidi kwenye utetezi.
Huyu mtu inawezekana kabisa uhalifu alioufanya unazidi wa sabaya! Ni nani alitumia jina la (wasiojulikana) ambae aliteka watu, kukuta maiti kwenye viroba haikuwa ajabu!
Live tulimuona na kundi lake kavamia studio na mitutu, hata asiposhtakiwa ndani ya utawala huu siku zake zinahesabika!
 
Tuzidi kumuomba Mungu ili hiyo siku itimie ili afikishwe mahakamani.

Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kuwatesa watu wasiyi na uwezo kama alivyofanya huyu kiumbe
 
Woote ni majambazi na wakubanwa wanaweza kuwataja watu wengi sana hasa wale wasiyo julikana.
Huyu wa sasa Maisha mapya ya Udongoni yalitakiwa yawe yameshaanza Kwake tokea mwaka 2019 ila kuna Mtu Mmoja ( sasa hayupo ) akawa anamkingia Kifua japo alishaonywa zaidi ya mara 20 kuwa anamharibia, hafai na ni Hatari pia Kwake na kwa Chama Matokeo yake leo anaanza Kuwasumbua.

Ndiyo maana nazipenda mno Systems za Israel, China, Rwanda, Russia, Korea Kaskazini, Uganda na Zimbabwe huwa haziwacheleweshi Wapumbavu kama huyu na zinajua mno Kunusa Hatari na Madhara yajayo.
 
Back
Top Bottom