Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Kwa Systems za Mataifa yanayojielewa na yasiyotaka Upuuzi Mtu kama huyu hivi sasa angekuwa Anaoza tu Udongoni, ila ya Tanzania ilimlea, ilimdekeza na akaharibu mambo mengi mpaka Kugharimu Utendaji wa Hayati na iliyokuwa Serikali yake.
Systems za CCM ni kwa CHADEMA tu, Bashite ni CCM. Ameua na Kutesa watu amewaita wapingaji wa utawala wa babake.
Bashite amechinja watu sana.
 
Chadema msishangilie, hizi zote ni Chambo za kummaliza Mbowe.
, chambo eti chambo..... Mbowe Ndio alimtuma Badhite kuuwa? Mbowe Ndio alikuwa anamtuma makonda kuvamia studio mbele ya CCTV? Mbowe Ndio alimtuma makonda kwenda kufanya uhalifu?
 
Tena mno tu mngewaomba msaada wangeshamalizana nae Kitambo sana na leo angekuwa ni Historia ila System yenu ya sasa Ina Ulokole + Uwoga mwingi ndiyo maana Washenzi kama huyu mpaka leo bado tunapishana nao tu Kigamboni Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Shinyanga.
Tatizo alikuwa anajivunia sana babake pale jengo kuu
 
Kwa mtazamo wangu, hii kesi kama kweli itafunguliwa kipindi hiki,, inaweza kutumika kama justification ya kumfunga Mbowe na mwisho wa siku unaweza sikia Makonda hajakutwa na hatia yoyote wakati huo Mbowe tayari yuko jela.

Hivyo, taarifa hii sio ya kufurahia sana, bali tuichukue kwa tahadhari kubwa. Hoja hapa ki kuwa, mkilalamika Mbowe kufungwa, watawajibu mbona hata Makonda kashitakiwa?

Tuwe makini.
Mkuu labda nikuondoe wasiwasi juu ya mh Mbowe.

Mbowe ni mpigania haki dhidi ya watawala ambao wako madarakani.

Kufungwa kwa mh Mbowe wala siyo ajabu kwani ni ktk kutimiza historia tu kuwa hakuna mafanikio yanayokuja kama mvua tu.

Mfano mzuri ni baba wa taifa letu mwl JK Nyerere alifungwa, mzee Jomo Kenyatta alifungwa, Mandela alifungwa,Mugabe alifungwa na wengi wengi ambao baadae walikuja kuzikomboa nchi zao.

Ili dhahabu ing'ae vema na kuitwa dhahabu ni lazima ipitie kwenye moto mkali.
 
Hatimae. Kwanza lile la kuvamia clouds media hachomoki. Ninawaonea huruma wale aliongozana nao. Gwajima alisema kweli. Hatimae amemfuta kwenye ulimwengu wa siasa.
 
Kwa mtazamo wangu, hii kesi kama kweli itafunguliwa kipindi hiki,, inaweza kutumika kama justification ya kumfunga Mbowe na mwisho wa siku unaweza sikia Makonda hajakutwa na hatia yoyote wakati huo Mbowe tayari yuko jela.

Hivyo, taarifa hii sio ya kufurahia sana, bali tuichukue kwa tahadhari kubwa. Hoja hapa ki kuwa, mkilalamika Mbowe kufungwa, watawajibu mbona hata Makonda kashitakiwa?

Tuwe makini.
Maharamia ya kijani hayashindwi
 
Bashiteeeeeeee........
Hebu Onyesha vyeti kwanza kabla hatujaenderea mbere na kesi
 
Makonda Aliumiza sana Watu...Kortini ni Halali yake kabisaaa ili iwe funzo..alizidisha mambo ya kienyeji akizushia watu wanauza dawa na dawa zenyewe hatukuziona....Huyu kwanza amechelewa Sana Alitakiwa kuwa Jela muda sana...
 
Back
Top Bottom