Na kwa kauli ya Prezda jana wakati anazindua jengo la chuo cha Jeshi kunduchi sasa naweza amini DAB a.k.a Paul makonda huenda akashtakiwaKama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Saabaya.
View attachment 2010778
Huyo ilikuwa ni suala la muda tu ili aionje radha na uzuri wa jela.Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Saabaya.
View attachment 2010778
Gazeti haliaminiki vipi wakati ndilo lilituletea uovu wa Sabaya ule uliokuwa haujulikani..Gazeti lisiloaminika!! Wanataka alimradi kumpanikisha bashit. Wamshtaki kwa kuchafua majina ya watu kuhusu madawa alipe mabilioni afilisikie mbali
Nakumbuka sana jinsi alivyo wapakazia kina Mbowe na kina Majizo na Manji kesi za madawa ya kulevya.Huyu akipelekwa ubaoni hachomoki especially hilo kosa la matumizi mabaya ya madaraka watamdaka mapema mno maana alikuwa anasumbua watu then mwishoni hakuna kinachotokea zaidi ya kuwapakazia watu Mambo ambayo amekosa ushahidi.
Akipelekwa segerea itapendeza sanaDuuu wanamisha magoli......tuhame nae tuache ya msingi.....basi sawa mleteni huyo....tuhangaike nae
Alitoa kauli gani mkuu?Na kwa kauli ya Prezda jana wakati anazindua jengo la chuo cha Jeshi kunduchi sasa naweza amini DAB a.k.a Paul makonda huenda akashtakiwa
Huyu jamaa nikichekigi zile video zake enzi za unaibu rais hua nacheka sana.Ok, ngoja tuone.
Ila Makonda awe makini, hilo kosa linaweza "kutengenezwa" lifanane na lile la Sabaya limpeleke jela na yeye, nikiangalia kwa jicho la tatu naliona litamkalia vibaya sana, na awe makini zaidi kwenye utetezi.
Alimteka tajiriNakumbuka sana jinsi alivyo wapakazia kina Mbowe na kina Majizo na Manji kesi za madawa ya kulevya.
Jamaa alikuwa anajioni ni Mungu mtu wakati Mungu hana tabia za kiuwaji kama huyu .