Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

40? Hawa kuna namna wanataka kupata kitu.

Ole Sabaya ni Mbaya lakini kuna vitu vingine vinakuzwa ili watu wanufaike kwa namna flani

Serikali iwe makini na kugundua hili
 
Duh! Afadhali Bashite, yeye alipora pesa na mali, haya ya ukatili na ubabe wa kutisha kwa kina dada na mama yanatisha, tusubiri tuone ukweli...
Anapotea kwenye ulingo kisiasa ki "bashite" style!
Kweli "politics is a dirty game"
 
Watu wengi tunaamini kwamba kumfunga mtu ni kuitenga jamii na uovu. Lakini uovu uko ndani ya mwanadamu. Anayefungwa hataondoka na uovu wa mwanadamu wengine. Ndiyo maada magereza hayajawahi kosa wapangaji.
 
Huyu ni mtu no 2 kula raha duniani. Baada ya yule alokuwa mfalme wa Dar
 
Nilishaongea sana habari za ole post zilizopita
Nimeacha kuongea sasa sababu suala lake liko kwenye vyombo husika sasa
MwanaCcm mwenzenu hamna cha kumfanya mnatuletea gelesha kupumbaza wadanganyika
 
40? Hawa kuna namna wanataka kupata kitu.

Ole Sabaya ni Mbaya lakini kuna vitu vingine vinakuzwa ili watu wanufaike kwa namna flani

Serikali iwe makini na kugundua hili
Nyie tagazi band hamjawahi kuwa na akili hii Ni kwasababau mnatumia mgongo wa Uccm kuiba fedha za umma(wezi wakubwa). Kuanzia 1.5T mpk hizi za wizara ya fedha .

Ujambazi utekaji rushwa nk.Nyie ndio mafundi wakuu
 
Hakuna kesi yeyote hapo...isitoshe issue ya ubakaji inathibitishwa na doctor na ni muda mfupi sana baada ya victim kufanyiwa kitendo hicho.

Zimeshapita siku ngapi sasa
 
Sijui Msai wa Wapi huyu jamaa?
 
Jamaa alikuwa anafil* watoto wa watu kinguvu na hoteli halipi kumamak* daah!
 
Hili gazeti la nani?

Wanakula naye sahani moja kudadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…