Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Trump huenda akashindwa uchaguzi.

Wamarekani wamekasirishwa na vifo vya watu 235,000 kutokana na COVID-19 kwa kushindwa kuweka mipango thabiti ya kupambana na ugonjwa huo.

Trump akishinda uchaguzi huu atafurahi sana.
Trump anashinda leo. Majimbo yaliyobaki yenye point nyingi yeye anaongonza. No way Biden apindue meza.
 
Trump anashinda leo. Majimbo yaliyobaki yenye point nyingi yeye anaongonza. No way Biden apindue meza.
Wakumbuka Trump alimchagua jaji wa mahakama kuu mwanamke?

Unafahamu lengo lilikuwa ni nini?

Sasa leo aona aelekea kushindwa anaanza kulialia anadai uchaguzi usimamishwe ili uamuliwe na Supreme Court.
 
Hizo kura kashapewa muda ila bado yupo nyuma

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile ap
Yashangaza sana na kuogofyesha kuona taifa kubwa kama Marekani wanashindwa kuwa na mfumo imara wa kupiga kura mara moja na kuhesabu kura hizo ndani ya masaa 24 na kutangaza mshindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…