Ngoma bado mbichi, kwa majimbo ambayo bado wanaendelea kuhesabu trump anaongoza kwenye majimbo ambayo yana electoral votes nyingi kama Florida(29),Ohio (18) , pennysylvania(20) na Texas(38) wakati Biden yeye majimbo anyaoongoza lenye kura nyingi ni Arizona(11).Kampita mbali sana 238
Umekariri mkuu,US ni miaka 4 sio mitano.Tano Tena kwa trumpu🇺🇸🇺🇸
Marekani taifa la wahuni.Yashangaza sana na kuogofyesha kuona taifa kubwa kama Marekani wanashindwa kuwa na mfumo imara wa kupiga kura mara moja na kuhesabu kura hizo ndani ya masaa 24 na kutangaza mshindi.
Unadhani marekani ni chato weweYashangaza sana na kuogofyesha kuona taifa kubwa kama Marekani wanashindwa kuwa na mfumo imara wa kupiga kura mara moja na kuhesabu kura hizo ndani ya masaa 24 na kutangaza mshindi.
Mkuu..sijaelewa..hapo Trump anajiharishiaje wakati naona anaongoza?Trump anajiharishia huko alipo, biden anakuja kwa kasi, japo Nevada napo Biden anaweza kupotezaView attachment 1619461
Anaongoza ndio ila angalia idadi ya kura ambazo bado hazijahesabiwa na margin ya kura ambazo amemzidi Biden, ni ndogo sana inaweza kupindua matokeo, alikuwa anaongoza Wisconsin, sa hivi Biden anaongoza, check michigan tofauti yake ndogo sana na kuna kura nyingi hazijahesabiwa...ambaye roho inataka kumtoka hapo ni trumpMkuu..sijaelewa..hapo Trump anajiharishiaje wakati naona anaongoza?
Huo uchaguzi hatujasikia watu wametekwa, kujeruhiwa wala kuuwawa wala kwamba zimepatikana kura feki.
Waafrika tulilaaniwa na tunajifanya kuigiza kufanya uchaguzi kimakosa kabisa wakati hatujui hata nini maana ya uchaguzi.
Marehemu Pieta Bother aliwahi kusema mwafrika hakuumbwa kutawala ila kutawaliwa tu. Today we're witnesses to what Bother said well over 40 years ago
Hivi we uko dunia gani? Watu wamekamata kura fake zimetikiwa Trump kwenye mafuko ya taka huko kambi za jeshi na asubuhi wamepigwa kwenye foleniHuo uchaguzi hatujasikia watu wametekwa, kujeruhiwa wala kuuwawa wala kwamba zimepatikana kura feki.
Waafrika tulilaaniwa na tunajifanya kuigiza kufanya uchaguzi kimakosa kabisa wakati hatujui hata nini maana ya uchaguzi.
Marehemu Pieta Bother aliwahi kusema mwafrika hakuumbwa kutawala ila kutawaliwa tu. Today we're witnesses to what Bother said well over 40 years ago.
Acha fix zako wewe kwani Trump ana uvccm au wasiojulikana.Hivi we uko dunia gani? Watu wamekamata kura fake zimetikiwa Trump kwenye mafuko ya taka huko kambi za jeshi na asubuhi wamepigwa kwenye foleni
HujitambuiAcha fix zako wewe kwani Trump ana uvccm au wasiojulikana.
Acha fix zako wewe kwani Trump ana uvccm au wasiojulikana.
Je hawa wanaoteka watu, kuwajeruhi wengine na kufanya uhuni kwenye uchaguzi wao wanalewa nini.Ni kwa sababu kule hakuna vyama vya upinzani vya kipumbavu kama huku kwenu. mwenyekiti analewa faru john unategemea nini?
HahahahaUmekariri mkuu,US ni miaka 4 sio mitano.
Kwa mara ya pili US inaweza kuwa na Rais MkatolikiGood luck JOE BIDEN.
Ila kura zake tayari zimeshajumlishwa na status ni Trump 213 na Bidden 238. Ila pambano bado mpaka kipenga cha kura ya mwisho.Ngoma bado mbichi, kwa majimbo ambayo bado wanaendelea kuhesabu trump anaongoza kwenye majimbo ambayo yana electoral votes nyingi kama Florida(29),Ohio (18) , pennysylvania(20) na Texas(38) wakati Biden yeye majimbo anyaoongoza lenye kura nyingi ni Arizona(11).