Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Kampita mbali sana 238
Ngoma bado mbichi, kwa majimbo ambayo bado wanaendelea kuhesabu trump anaongoza kwenye majimbo ambayo yana electoral votes nyingi kama Florida(29),Ohio (18) , pennysylvania(20) na Texas(38) wakati Biden yeye majimbo anyaoongoza lenye kura nyingi ni Arizona(11).
 
Yashangaza sana na kuogofyesha kuona taifa kubwa kama Marekani wanashindwa kuwa na mfumo imara wa kupiga kura mara moja na kuhesabu kura hizo ndani ya masaa 24 na kutangaza mshindi.
Unadhani marekani ni chato wewe
 
Trump anajiharishia huko alipo, biden anakuja kwa kasi, japo Nevada napo Biden anaweza kupoteza
20201104_154246.jpg
 
Mkuu..sijaelewa..hapo Trump anajiharishiaje wakati naona anaongoza?
Anaongoza ndio ila angalia idadi ya kura ambazo bado hazijahesabiwa na margin ya kura ambazo amemzidi Biden, ni ndogo sana inaweza kupindua matokeo, alikuwa anaongoza Wisconsin, sa hivi Biden anaongoza, check michigan tofauti yake ndogo sana na kuna kura nyingi hazijahesabiwa...ambaye roho inataka kumtoka hapo ni trump
 
Huo uchaguzi hatujasikia watu wametekwa, kujeruhiwa wala kuuwawa wala kwamba zimepatikana kura feki.

Waafrika tulilaaniwa na tunajifanya kuigiza kufanya uchaguzi kimakosa kabisa wakati hatujui hata nini maana ya uchaguzi.

Marehemu Pieta Bother aliwahi kusema mwafrika hakuumbwa kutawala ila kutawaliwa tu. Today we're witnesses to what Bother said well over 40 years ago

Huo uchaguzi hatujasikia watu wametekwa, kujeruhiwa wala kuuwawa wala kwamba zimepatikana kura feki.

Waafrika tulilaaniwa na tunajifanya kuigiza kufanya uchaguzi kimakosa kabisa wakati hatujui hata nini maana ya uchaguzi.

Marehemu Pieta Bother aliwahi kusema mwafrika hakuumbwa kutawala ila kutawaliwa tu. Today we're witnesses to what Bother said well over 40 years ago.
Hivi we uko dunia gani? Watu wamekamata kura fake zimetikiwa Trump kwenye mafuko ya taka huko kambi za jeshi na asubuhi wamepigwa kwenye foleni
 
Hivi we uko dunia gani? Watu wamekamata kura fake zimetikiwa Trump kwenye mafuko ya taka huko kambi za jeshi na asubuhi wamepigwa kwenye foleni
Acha fix zako wewe kwani Trump ana uvccm au wasiojulikana.
 
Acha fix zako wewe kwani Trump ana uvccm au wasiojulikana.

mnakaaga mnaota marekani ni peponi, kasakanye mitandaoni huko uone vituko vya 2020 huko.

mahakama imetoa amri,shirika la posta limeikatalia.
 
Ni kwa sababu kule hakuna vyama vya upinzani vya kipumbavu kama huku kwenu. mwenyekiti analewa faru john unategemea nini?
Je hawa wanaoteka watu, kuwajeruhi wengine na kufanya uhuni kwenye uchaguzi wao wanalewa nini.
 
Ngoma bado mbichi, kwa majimbo ambayo bado wanaendelea kuhesabu trump anaongoza kwenye majimbo ambayo yana electoral votes nyingi kama Florida(29),Ohio (18) , pennysylvania(20) na Texas(38) wakati Biden yeye majimbo anyaoongoza lenye kura nyingi ni Arizona(11).
Ila kura zake tayari zimeshajumlishwa na status ni Trump 213 na Bidden 238. Ila pambano bado mpaka kipenga cha kura ya mwisho.
 
Biden anaweza shinda maana akishinda Nevada tu anafikisha 270
 
Back
Top Bottom