Kijibabu
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 483
- 622
Ngoma bado mbichi, kwa majimbo ambayo bado wanaendelea kuhesabu trump anaongoza kwenye majimbo ambayo yana electoral votes nyingi kama Florida(29),Ohio (18) , pennysylvania(20) na Texas(38) wakati Biden yeye majimbo anyaoongoza lenye kura nyingi ni Arizona(11).Kampita mbali sana 238