Usijekuta wanataka bandari yetu ya TangaKatika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
Ni kweli na wala sio siri...wapo ndugu zetu wengi sana wa damu kule OMAN.Oman wamekuwaje ndugu zetu? Au ni kwa upande wa zanzibar? Kama ni zanzibar hapo sawa, maana kuna waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba vyao
mchango wao ni upi kwa taifa?Ni kweli na wala sio siri...wapo ndugu zetu wengi sana wa damu kule OMAN.
Wameoa Zanzibar,Tanga,Dar na Pwani ...hakuna namna ya kuwakana
Sisi Watanganyika hatuna undugu wowote na Oman, bora ungezungumzia majirani zetu wa nchi zilizotuzunguka tunazo-share common borders.Ni kweli na wala sio siri...wapo ndugu zetu wengi sana wa damu kule OMAN.
Wameoa Zanzibar,Tanga,Dar na Pwani ...hakuna namna ya kuwakana
Isemee basi yako mkuu, hao ni ndugu zetu tena wa damu!Sisi Watanganyika hatuna undugu wowote na Oman, bora ungezungumzia majirani zetu wa nchi zilizotuzunguka tunazo-share common borders.
Ndugu zenu wewe na nani, labda kwenu huko Pemba. Oman ni moja ya nchi niliyotembelea sana na zaidi ya wao kuwa a good percentage of them speaks Kiswahili kwa sisi Watanganyika hatuna undugu nao kabisa.Isemee basi yako mkuu, hao ni ndugu zetu tena wa damu!
Kweli aiseeeNi kweli na wala sio siri...wapo ndugu zetu wengi sana wa damu kule OMAN.
Wameoa Zanzibar,Tanga,Dar na Pwani ...hakuna namna ya kuwakana
Hii ni news au breaking news?Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
wajomba zake samiaKatika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
Hahaa 😂😂😂😂Usijekuta wanataka bandari yetu ya Tanga
Gari lililotembea nchi 9 😁😁😁😁Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
Undugu wa damu za 29/10/2025Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.