Raia wa OMAN wenye asili ya Tanzania wamzawadia Rais Samia Gari lililotembea nchi zaidi ya tisa

Usijekuta wanataka bandari yetu ya Tanga
Bandari ya Tanga imeboreshwa kiutendaji baada ya Rais SSH kufanya maboresho yenye thamani ya karibu shilingi bilioni 600.

Hizi akili za kibaguzi zenye kujaa chuki za kijinga zilikuwa nyuma ya ule ushenzi wa October 29, kusambazwa kwa maneno ya kizushi ni uendelezaji wa fitina.

Dhambi mbaya sana ya fitina, siku ya malipo yake ikifika inamtafuna mpaka mtoto mchanga mwenye miezi mitatu tangu azaliwe. Tuwe waangalifu kuhusiana na kile tunachokisambaza.
 
Unajua maana ya huenda?
Sijasema watapewa au wameishapewa.
Na hata wakipewa ni faraja kwa nchi kiuchumi na kimaendeleo kwa sababu hao wenzetu Wana mitaji, teknologia, na wako serious na kazi.
Kuliko sisi.
Angalia bandari ya Dar ufanisi na mapato yalivyoongezeka baada kukabidhiwa DP world
 
Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.

WaOman nfugu zetu wa DAMU .... Seriously? Au kwa vile ni wajomba zake Abdul...!!
 
Back
Top Bottom