DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Vyombo vya usalama kwanini hamfanyi operation za mara Kwa mara kubaini wahamiaji haramu.

Wanyarwanda sio wageni waziri kuingia kwenye Taifa letu bila taratibu na vibali au kujulikana,
Mjeda mkuu alisema wapo wengine serikalini wana nafasi ndefu tu
 
Sijawahi ona mtu anamwogopa mrwanda Kwa kipi na kwenye ajira ipi mTazanzia anaweza shinda mrwanda sema Mimi nilichoona ni watu kuupinga uhamiaji Haram wa wanyarwanda Sasa mhamiaje Haram anaweza shindania nafasi ipi ya ajira Tanzania?
 
Wabongo wengi hawawapendi sana raia wageni wa Kenya na Rwanda, nafikiri kuna hali fulani ya wivu mbaya dhidi ya hizi nchi. Kila wakati utakapozungumziwa uhamiaji haramu reference kubwa zaidi ni Wanyarwanda na Wakenya.
 
Kumbe wewe utakuwa kilaza unajua kwaiyo mtaa wa congo wanaishi wacongo?
 
Wabongo wengi hawawapendi sana raia wageni wa Kenya na Rwanda, nafikiri kuna hali fulani ya wivu mbaya dhidi ya hizi nchi. Kila wakati utakapozungumziwa uhamiaji haramu reference kubwa zaidi ni Wanyarwanda na Wakenya.

The inferiority complex of the highest order. Wabongo ni watu wanyonge wanyonge sana wao in their minds are already defeated the moment wakisikia mgeni hasa mkenya au mrwanda.
 
Why Rwanda! Why so rwandophobia!?
WA Zambia wapo, watu wa msumbiji wapo kibao kule mtwara, maaana wanongea lugha moja na wenyeji, waganda wapo, wakongo wapo, wengine tunaishi nao kitaa,ni wana muziki, wasusi, wa Masai kutoka Kenya wapo kibao, hao wooote hawawatishi! Lakini kenge nyie mkisikia mtusi kaingia bongo, makalio yanawaanza kutetemeka, wanyarwanda, na binamu zao, wahaya na wanyankore waliwafanya nini!?
Kama tunavyoogopa wa Kenya wasije bongo kufanya kazi, maana watachukua kila ajira,ndio kenge nyie mnavyohofia wanyarwanda! Kwamba hawa ni maspy wa Kagame, wanakuja kupindua nchi!
Little do you know, maofisa wa, jeshi wa, Rwanda, baadhi ni waalimu wakufunzi, pale chuo cha kijeshi TMA Arusha,!
Muhaya/Mtusi ni akili kubwa ndio maaana, anaogopwa!
 
Sijawahi ona mtu anamwogopa mrwanda Kwa kipi na kwenye ajira ipi mTazanzia anaweza shinda mrwanda sema Mimi nilichoona ni watu kuupinga uhamiaji Haram wa wanyarwanda Sasa mhamiaje Haram anaweza shindania nafasi ipi ya ajira Tanzania?

Wewe mwenyewe DP yako ni picha ya PK that speaks volume.

Nimekwambia a quick search hapa hapa JF utapata majibu yako maana hii topic tumejadili mara kadhaa.

Siku zote wamatumbi mnapolalamika uhamiaji haramu huwa mnaongelea Rwanda na Kenya sio nchi zingie. Husikii hizi kelele kuhusu Malawa, Burundi au Congo ambao raia wao ni wengi zaidi nchini halali na haramu.

Mleta uzi kasikia mtu anaongea kinyarwanda tu kaloa, we unaona hiyo ni akili?

Kuna watu wanasema wanaishi na warundi ila husikii kelele kuhusu warundi.
 
Unapiga kwenye mshono, mkuu😂 😂 😂
 
Wabongo wengi hawawapendi sana raia wageni wa Kenya na Rwanda, nafikiri kuna hali fulani ya wivu mbaya dhidi ya hizi nchi. Kila wakati utakapozungumziwa uhamiaji haramu reference kubwa zaidi ni Wanyarwanda na Wakenya.
Kwanini hao wakenya wasikae huko Kenya wanakuja kutuchafulia tu mazingira na kunya kunya hovyo!

Wakae huko kwao!
 
Unatia mashaka, logic hapa ni kwamba Kuna wahamiaji haramu wanakula mema ya nchi yetu ilihali Kuna watz wanasota, Inaonekana na wewe ndo wale maintluders via Namanga and Mtukula.

Mema ya nchi yapi hayo? Unaweza taja kitengo kimoja walichoshika?
 
Kwasasa ni ngumu Jeshi la uhamiaji na police ni wadhaifu katika pesa hawawezi Hilo suala Wenda JWTZ na NA ASKARI WA WANYAMA POLI WAINGILIE KATI.
 
The inferiority complex of the highest order. Wabongo ni watu wanyonge wanyonge sana wao in their minds are already defeated the moment wakisikia mgeni hasa mkenya au mrwanda.
Sio wabongo wote bali wachache wasiojiamini. Mtu yupp nchini kwake anaogopa mrwanda na mkenya, huyo mtu ataweza kufanya nini kwenye taifa kama marekani ambalo Kuna mamilioni ya raia kutoka karibu kila nchi

Kenya watanzania wapo tena wanafanya shughuli za chini mno, Uganda wapo, Ila kwetu unasikia hizi kelele. Kama vibali wanavyo sioni shida, na waliozaliwa hapa pia sioni shida. Wabongo tumekkua na akili dumavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…