Why Rwanda! Why so rwandophobia!?
WA Zambia wapo, watu wa msumbiji wapo kibao kule mtwara, maaana wanongea lugha moja na wenyeji, waganda wapo, wakongo wapo, wengine tunaishi nao kitaa,ni wana muziki, wasusi, wa Masai kutoka Kenya wapo kibao, hao wooote hawawatishi! Lakini kenge nyie mkisikia mtusi kaingia bongo, makalio yanawaanza kutetemeka, wanyarwanda, na binamu zao, wahaya na wanyankore waliwafanya nini!?
Kama tunavyoogopa wa Kenya wasije bongo kufanya kazi, maana watachukua kila ajira,ndio kenge nyie mnavyohofia wanyarwanda! Kwamba hawa ni maspy wa Kagame, wanakuja kupindua nchi!
Little do you know, maofisa wa, jeshi wa, Rwanda, baadhi ni waalimu wakufunzi, pale chuo cha kijeshi TMA Arusha,!
Muhaya/Mtusi ni akili kubwa ndio maaana, anaogopwa!