Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Raila amesema viongozi wa kanda wamekua wakitaka kushauriana na rais John Pombe Magufuli, bila mafanikio.
Video: SABC
Virusi vya corona: Kiongozi wa upinzani wa Kenya Raila Odinga amesema Rais Magufuli ''anashauriwa vibaya'' - BBC News Swahili

"Raila amesema viongozi wa kanda wamekua wakitaka kushauriana na rais John Pombe Magufuli, bila mafanikio."

Hii statement ni fikirishi. Ni kuwa rais ni mkaidi? Rais siyo msikivu? Rais hana cha kujifunza kutoka kwa wengine? Rais hashauriki? Nk nk.

Nani wanaomshauri rais kuwa na msimamo huu? Kina Mbatia ni mmoja wa watu hao?
 
Kama Kuna siku Jumuia za EAC na SADC zitakuja kusambaratishwa na kuvunjika ni kwa ujeuri,kibri na ubabe wa JPM. Huyu mtu hana kabisa hata chembe moja ya Kidiplomasia. Mwaka wa 5 lakini bado hajapata hata zile ABC za diplomasia ya mahusiano ya Kimataifa. JPM kwa hakika
ni aibu tupu.
 
Kina Bashite

In God we Trust
 
Ya Brazil yanatunyemelea, wakati death toll Brazil imefika 7000 tayari walishachimba makaburi 13000 yakisubiri miili sasa imepanda hadi 10000.
 
Magufuli hajawahi kushindwa
Hata wakati wa suala la Acacia alibezwa sana,lakini alishikilia uzi hatemaye Acacia ikapotea kwenye uso wa dunia
Raila kwani ndie aliemshauri Kenyatta awapige bakora raia mpaka wengine kuuwawa?
 
Alishinda nini na hiyo Acacia imepotea kwenye uso wa dunia IPI, Lumumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Kuna siku Jumuia za EAC na SADC zitakuja kusambaratishwa na kuvunjika ni kwa ujeuri,kibri na ubabe wa JPM. Huyu mtu hana kabisa hata chembe moja ya Kidiplomasia. Mwaka wa 5 lakini bado hajapata hata zile ABC za diplomasia ya mahusiano ya Kimataifa. JPM kwa hakika
ni aibu tupu.
Halafu kuna watu wanmfananisha na Legends wa nchi hii.
Nilishtuka sana siku nilipomwona akipiga pushups jukwaani,ukiwa na ufahamu kidogo wa personality ya binadamu alafu akashangiliwa sana hadi leo.Hapo uje tupo wengi nchi hii wenye matatizo kama hayo.
Tunahitaji tiba so ya Corona pekee,hatujasahau yaliyotokea Samunge.
 
Katika siasa hakuna rafiki wa kudumu, wanaangalia maslahi tu.
Odinga alimfuata Magufuli pale alipokuwa ana pilikapilika za kugombea uraisi lakini kwa sasa Raila na Odinga wamemaliza tofauti zao.
Msimamo wa Odinga ndio msimamo wa Kenyatta na ndio msimamo wa serikali ya Kenya.
Laila anamchukulia Magufuli kama the desperate and stubborn President kwa kuwa ni tofauti na msimamo wa mataifa jirani.
Laila na mataifa ya Africa mashariki yanajua fika vita vya Corona inazihusu nchi zote.Kirusi kati ya nchi mmoja ni hatari kwa nchi nyingine.
Sijui nchi jirani zetu na SADC watatuchulia hatua gani,huyu Kabudi kama ni Bingwa wa ushawishi kama anavyojinadi ampe msaada wa kweli Magufuli otherwise ana agenda ya siri.
 
,

Katika mahojiano aliyofanya na Shirika la Utangazaji la Afrika ya Kusini, SABC, Mjumbe Maalum wa Rais Uhuru Kenyata wa Kenya katika Umoja wa Afrika (AU) Raila Odinga ameeleza kuwa anafikiri Rais Magufuli anashauriwa vibaya katika hatua anazochukua/asizochukua kukabiliana na Ugonjwa wa CORONA, ameshangaa kuwa Marais wenzake na hata yeye mwenyewe wamejaribu kuwasiliana naye mara kadhaa bila mafanikio.

Raila Amesema ni vizuri Rais Magufuli akaona umuhimu wa kushirikiana na kushauriana na viongozi wenzake wa Kikanda katika kupambana na Ugonjwa wa CORONA, kuliko kujiweka pembeni peke yake kama ilivyo sasa..

Maoni yangu:

Nadhani Sasa Uvumilivu wa majirani Umefika kikomo...Baada ya Museveni, Ramaphosa, na Sasa Raila, nadhani atakayefuata ni Paul Kagame - na Huyu tumjuavyo, lugha yake itapukutisha hadi majani ya mimea ya kujifukiza katika Kisiwa cha Rubondo, Wacha tuone
 
Katika mahojiano aliyofanya na Shirika la Utangazaji la Afrika ya Kusini, SABC, , Mjumbe Maalum wa Kenya katika Umoja wa Afrika (AU) Raila Odinga ameeleza kuwa anafikiri Rais Magufuli anashauriwa vibaya katika hatua anazochukua/asizochukua kukabiliana na Ugonjwa wa CORONA, ameshangaa kuwa Marais wenzake na hata yeye mwenyewe wamejaribu kuwasiliana naye mara kadhaa bila mafanikio.

Raila Amesema ni vizuri Rais Magufuli akaona umuhimu wa kushirikiana na kushauriana na viongozi wenzake wa Kikanda katika kupambana na Ugonjwa wa CORONA, kuliko kujiweka pembeni peke yake kama ilivyo sasa..

Maoni yangu:

Nadhani Sasa Uvumilivu wa majirani Umefika kikomo...Baada ya Museveni, Ramaphosa, na Sasa Raila, nadhani atakayefuata ni Paul Kagame - na Huyu tumjuavyo, lugha yake itapukutisha hadi majani ya mimea ya kujifukiza katika Kisiwa cha Rubondo, Wacha tuone

Hii mbona ya zamani!
 
Back
Top Bottom