Raila Odinga KUMTUMIA rais Magufuli kwa kampeni zake za URAIS Kenya ni MAKOSA MAKUBWA!

Ough, what does knowledge mean? I don't think that you're thinking correctly. Reflect your mentality please.
 
toa ujinga wako hapa! mafisadi wameanza kuondolea toka enzi na enzi. tunayo mifano ya wanaoitwa mafisadi papa ambao waliagusha kipindi cha kikwete. sasa Leo hii ni fisadi yupi Wa kutisha unayeweza kusema ameondolewa na serikali yako ya maigizo
Je na yule wa upande wa pili
 
Nakubaliana nawe. Raila ajitetee yeye mwenyewe pasipo kutugonganisha Afrika Mashariki.na Kwanza yeye HANA track RECORD yeyote ya maendeleo ya watu wake WAJALUO. Atuache sisi na rais wetu.Ajitetee yeye mwenyewe. HAJASOMESHAA hata mtu mmoja.Nini KIPYA?
Kweli kabisa japo ni marafiki wa muda mrefu sioni haja ya yeye kutumia urafiki huo kutafuta kura Kenya, hata hivyo inaonyesha Magufuli anakumbalika Kenya kwa mema anayofanya hapa kwetu, Raila yeye auze sera zake aache bla bla
 
Mkuu hutaki miradi ya Maendeleo unataka nini sasa?
Kweli raisi wenu ana kazi ya Ziada.
Unataka gesi ibadili maisha yako kivipi?
Tafuta taarifa kamili kabla ya kuandika kitu mitandaoni..
50-60% ya Umeme gridi ya Taifa kwa sasa unaotokana na Gesi yetu, na wewe pia ni shahidi Ile kero ya Umeme kwa sasa haipo tena..
Kuna ujenzi unaoelekea kukamilika Wa miradi mikubwa ya Kinyerezi II na III ambayo itatuongezea karibu MW450,
Na tumeanza ujenzi Wa Viwanda viwili Vikubwa zaidi Kwatika ukanda huu. cha Kuchakata gesi hapo Lindi Uwekezaji Wa Trillion 60 Pamoja na Kiwanda cha Mbolea Kikubwa zaidi ..

utakuwa ni mtu Wa ajabu kama utapinga miradi mikubwa ya Maendeleo kama Treni na ya Kisasa na Miundombinu ya Barabara.
 
Kenyan news and politics!

Kilichoandikwa kwenye mada na mjadala unaofanyika ni vitu viwili tofauti!

Watanzania tubadilike la sivyo tutasubiri sana! Yako majukwaa mengi ya kujadili performance ya Rais wetu!


Rudini kwenye hoja ya msingi
 
toa ujinga wako hapa! mafisadi wameanza kuondolea toka enzi na enzi. tunayo mifano ya wanaoitwa mafisadi papa ambao waliagusha kipindi cha kikwete. sasa Leo hii ni fisadi yupi Wa kutisha unayeweza kusema ameondolewa na serikali yako ya maigizo
Sijawahi ona kilaza kama wew mzee
 
Umeelewa hoja yangu?? Nani kapinga miradi?? Nachomjibu huyo ni kwamba sio kila anyemkosoa rais basi ndo anampinga maendeleo maana kila tukimkosoa magufuli utaskia ANAJENGA RELI ANAJENGA BARABARA !!!! as if gadaffi hakufanya yote haya na bado wananchi wakawa hawamkubali!!!!

Anyway kwa unachosema wwe its ok miradi ila kumbuka bomba la gesi only mteja ni tanesco!!! Na hata CAG anasema tumekosa wateja then wwe unatetea tu sijui kwa faida ya nani?? Yaani grid ya umeme kutegemea gesi ndio imesaidua nini kma tanesco inaendeshwa kwa hasara ya mabilion kila mwaka?? REA imekwama hyo gesi imesaidia nini??? Unajua vijiji vingapi havina uneme hapa TZ??

Hoja yangu ni kwamba tusishabikie miradi ila tushabikie OUTCOME au IMPACT ya miradi.... sio tu magufuli katumbua bandari sijui kajenga treni je tujiulize hiyo miradi imefaidisha nini mwananchi wa kawaida hapo ndipo msifie sio kusifia mradi wa treni wakati 60% ya vijiji treni hii inapopita hayana maji safi na salama wala vituo vya afya then mnakuja mnashabikia ti treni treni kwani ni mara ya kwanza treni kuletwa?? Ila since then kuna impact gani kwenye maisha ya mwananchi wa kawaida??

TUSIFIE IMPACT YA MIRADI SIO KUSIFIA MIRADI
 
kumbuka pia anapingwa na watu wachache hususani wajinga wakubwa!
wenye upeo tunamsupport
Hahahhaahha wachache???? Mbona anatumia nguvu kubwa kuwazuia sasa?? Si aruhusu m4c zirudi tena aone atabaki na wangapi!!

Rais kukosolewa sio dhambi tujifunze demokrasia hta viongozi wenye title kubwa sana kma kina nkrumah na castro au mandela na wenyewe walipingwa sana wakati wao sembuse Rais wenu?? Lets be objective and allow political immaturity and harmony to take its course
 
Wacha kulalama wewe mkikuyu, mwanche Raila aoneshe kuwa ana network na watu wadilifu!
 
Tujadili huku wewe tayari umeshamaliza mchezo na kutuonesha msimamo wako ulipo.. Umeshaandika ni makosa makubwa..
 
Wacha kulalama wewe mkikuyu, mwanche Raila aoneshe kuwa ana network na watu wadilifu!
Not at the expense ya UHUSIANO wetu mzuri na jirani zetu wa Kenya.
Elewa implications zake kabla ya kujibu tu kiholela!
 
Nachowasifu wakenya ni kwamba wana msimamo kama waarabu... Huweza kuwachezea kama tunavyoshikwa shikwa sharubu Tanzania...
 
Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????

Upuuzi kufufua shirika la ATCL?

Upuuzi kuleta treni ya umeme?
Kwani hiyo ndio priority ya watz?
 
Kweli kabisa japo ni marafiki wa muda mrefu sioni haja ya yeye kutumia urafiki huo kutafuta kura Kenya, hata hivyo inaonyesha Magufuli anakumbalika Kenya kwa mema anayofanya hapa kwetu, Raila yeye auze sera zake aache bla bla
Hapo ni kweli kabisa mkuu. Maana UTAWALA ni tofauti sana na URAFIKI. Magufuli sasa ni MALI ya Watanzania na si vinginevyo.
 
Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????

Upuuzi kufufua shirika la ATCL?

Upuuzi kuleta treni ya umeme?
Atcl inamsaidiaje anaekufa kwa malaria au tb na vifaa tiba hakuna
 
Uko na mlengo Wa kisiasa zaidi,
Unaweza kuwa sahihi kwa huo mtazamo wako.
But to me,
I don't give a https://jamii.app/JFUserGuide on your Chadema or CCM, ama sijui chama gani Kingine,
Nataka Kuona Maendeleo, that's it. Sihitaji porojo na stori za usisiem au Ukawa people will not eat words .
Tena napenda hata hivi vyama vinnyimwe kabisa ruzuku ambazo ni Kodi zetu, vijitegemee..

Nataka kuona ni Kitu gani (Visible) serikali imekifanya?
Kuhusu hoja yako kuwa Tanesco ndio mteja Wa gesi inadhihirisha kuwa upo hapa kupinga kila kitu.
Miradi kama REA inakwama kwa Sababu wafadhili kuna wakati hawatoi pesa kwa Wakati.
Ndio maana nataka kuona Miundombinu kama hii ya Reli itakayoiongezea serikali PATO la kufanya tujitegemee tujenge Miundombinu ya Maji safi kwa watanzania.

Magufuli isn't an ANGEL, ana mapungufu kama ilivyo Mimi na wewe , But he is the best statesman especially kwa Wakati tulipokuwa tumefika.
Pamoja na kuwa sikumpigia kura nataraji kumpigia kura 2020. Kama SGR, ATCL, JNIA, MW2000 kwenye gridi ya Taifa na Miundombinu ya Barabara za flyovers hapa dsm itakuwa imekamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…