Akimshangilia. Wakati akiwa Waziri wa Ujenzi alipohudhuria sherehe zake za nyuma za kumfanya mgombeaji wa Urais kwa kiti cha ODMHebu tulia uteeleze vizuri juu ya hizo video ya kushangaza iliyomwonesha mpenzi wetu, baba yetu na raisi wetu
Hiyo video ilimwonesha raisi akifanya nini?
Toa habari acha kukimbia kimbia
Mbona kama unafukuzwa?
Sasa nakusikiliza nataka nielewe hiyo video iliyoonesha rais wetu maudhui yake yalikuwaje
"Mhudumu nipe Serengeti baridi usisahau grass "
Basi CAG kadanganya maana kwenye kusoma ripoti yake alisema "walijenga bomba kabla ya kutafuta wateja" na akalalamika why mteja ni tanesco tu !!!! Ila kma wwe unasema ni kuzalisha umeme tu je hakuna kampuni za kigeni zingekuja kufua umeme na kuuza nje ya nchi kwa mfano??? Au huo umeme ni sole ownership ya tanesco!!!We ndugu bomba la gas ya mtwara dar ni primarily kwa ajili ya kuzalisha umeme na si kuuza. Untapped reserve ya gas tunayotarajia italeta economic transformations bado iko offshore(baharini) wala hata maamuzi ya uwekezaji hayajafanywa rasmi na stat oil. Kuna jamaa hapo juu amekueleza gas ya kuuzwa itatoka kwenye LNG plant ambayo bado kabisa kujengwa. Lakini sidhani kama huyo CAG ana elimu yoyote kuhusiana na gas.
Hahahhahahaha njoo na hoja au jibu hoja sio kukejeli na kukimbia mwenzio nimembana hadi kakimbia mada..... njoo na facts hapa sio maneno matupu je ni sawa kuwekeza kwenye miradi mikubwa ambayo sio kipaumbele kma SGR na flyovers cjui airport ya chato huku kila siku kinamama wajawazito 20 wanakufa kwa kukosa kituo cha afya????Wew unaonekana una cheti kimoja tu. Nacho ni cheti cha kuzaliwa
Mkuu hili ni jukwaa huru kabisa kila mtu anashare mawazo yake hatuwezi wote kuwa na fikra moja its like that dunia nzima kubali kutofautiana mawazo na mtu.Wew kweli una upeo mdogo. Bora JPM alivyoweka elimu bure ili watu kama hawa wasije kupatikana mbeleni
Maswala ya afya huwezi kusema utayamaliza kwa siku moja. Hata marekani kwenyewe mpaka leo bado wanalumbana na ndo maana kuna obama care. Hata kama watu watatibiwa bure bila miundo mbinu bora watafika vipi kweny vituo vya afya? Foleni zinapoteza billions of mony mjini hapa. Zikipatikana si zitaboresha sekta ya afya. Tatizo ww hujui kama serikali pia inahitaji kuwekeza ipatr pesa ili iendeleze sekta zingine. Kama umesoma uchumi angalia PPF curve. Kama hujaelewa hapa basiHahahhahahaha njoo na hoja au jibu hoja sio kukejeli na kukimbia mwenzio nimembana hadi kakimbia mada..... njoo na facts hapa sio maneno matupu je ni sawa kuwekeza kwenye miradi mikubwa ambayo sio kipaumbele kma SGR na flyovers cjui airport ya chato huku kila siku kinamama wajawazito 20 wanakufa kwa kukosa kituo cha afya????
Kina mama 20 kufariki inategea. Kunafactors nyingi zilizowafanya kina mama hawa kufarki. Kukosa kufika vituo vya afya kwa wakati kutokana na miundo mbinu mibovu.Hahahhahahaha njoo na hoja au jibu hoja sio kukejeli na kukimbia mwenzio nimembana hadi kakimbia mada..... njoo na facts hapa sio maneno matupu je ni sawa kuwekeza kwenye miradi mikubwa ambayo sio kipaumbele kma SGR na flyovers cjui airport ya chato huku kila siku kinamama wajawazito 20 wanakufa kwa kukosa kituo cha afya????
Mkuu upo kijijini kituo cha afya kipo kilometer 60 unaona sawa tu??? Ssa hta kma kuna lami hizo kilometer 60 kwa usafiri wa baiskeli au boda na its emrgency si unakufaKina mama 20 kufariki inategea. Kunafactors nyingi zilizowafanya kina mama hawa kufarki. Kukosa kufika vituo vya afya kwa wakati kutokana na miundo mbinu mibovu.
Wew ulitaka kila kijiji kiwe na kituo cha afya? Serikali zilizopita toka uhuru hawakujenga flyover wala kununua ndege mbina hawakujenga kituo cha afya kila kijiji? Basi serikali isifanye chochote ijenge tu vituo vya afya ili kinamama waja wazito wasife.Mkuu upo kijijini kituo cha afya kipo kilometer 60 unaona sawa tu??? Ssa hta kma kuna lami hizo kilometer 60 kwa usafiri wa baiskeli au boda na its emrgency si unakufa
Hata kma hayamaliziki but yawe kipaumbele mfano airport ya chato ina faida gani zaidi ya kuwa white elephant!!! Yaani mnaona ni sawa mjenger flyover ubungo wakati kilometer 2 pembeni ambapo kuna chuo kikuu best tanzania ambapo wanafunzi almost 70% walikosa mikopo na kurudishwa nyumbani!!????Maswala ya afya huwezi kusema utayamaliza kwa siku moja. Hata marekani kwenyewe mpaka leo bado wanalumbana na ndo maana kuna obama care. Hata kama watu watatibiwa bure bila miundo mbinu bora watafika vipi kweny vituo vya afya? Foleni zinapoteza billions of mony mjini hapa. Zikipatikana si zitaboresha sekta ya afya. Tatizo ww hujui kama serikali pia inahitaji kuwekeza ipatr pesa ili iendeleze sekta zingine. Kama umesoma uchumi angalia PPF curve. Kama hujaelewa hapa basi
Mkuu at least bejeti ya wizara ya afya ipanuliwe kma wanagawa milion 50 kila kijiji walishindwaje kuwekeza million 50 kwenye kituo cha afya kikubwa at least kila vijiji vitatu iwepo mojaWew ulitaka kila kijiji kiwe na kituo cha afya? Serikali zilizopita toka uhuru hawakujenga flyover wala kununua ndege mbina hawakujenga kituo cha afya kila kijiji? Basi serikali isifanye chochote ijenge tu vituo vya afya ili kinamama waja wazito wasife.
Hopeless! Anashangiliwa na watu wachache?? Kwenye bichwa lako una ubongo au maji ya chooni??sasa akimuiga huyu Wa kwetu wakenya si watakuwa wamepotea? huyu Wa kwetu anashangiliwa na watu wachache ambao kwa bahati mbaya walinyimwa upeo Wa kufikiri hivyo wao ni akina ndiyo mzee
Kwani tunaupungufu wa wasomi tz? Ndo iwe kipaumbele? Public infrastructure ndo kipaumbe kwa maendeleo ya nchi kwa sasa. Wasomi kwa sasa ni wengi kuliko uwezo wa kuwa ajiri ukiongeza infrastructure ita influence maendeleo ya nchi na wasomi watapata ajira. Fikiri beyond the box mkuuHata kma hayamaliziki but yawe kipaumbele mfano airport ya chato ina faida gani zaidi ya kuwa white elephant!!! Yaani mnaona ni sawa mjenger flyover ubungo wakati kilometer 2 pembeni ambapo kuna chuo kikuu best tanzania ambapo wanafunzi almost 70% walikosa mikopo na kurudishwa nyumbani!!????
There is somethin wrong with ths country priorities..... yaani PPF curve ndio inasema kuwa investment kwenye public infrsatructures is better than investment on human capital in terms of university graduates???? Kazi kweli kweli
Efficient allocation of resources ndio kinachotakiwa. Kama serikali imeona chato inahitaji airport ili economic activities ziongezeke.no problem, economic activities zikiongezeka means more revenue, more revenue means more gvt collection, more gvt collection means more hospitals, more hspitals means more life expectancyHata kma hayamaliziki but yawe kipaumbele mfano airport ya chato ina faida gani zaidi ya kuwa white elephant!!! Yaani mnaona ni sawa mjenger flyover ubungo wakati kilometer 2 pembeni ambapo kuna chuo kikuu best tanzania ambapo wanafunzi almost 70% walikosa mikopo na kurudishwa nyumbani!!????
There is somethin wrong with ths country priorities..... yaani PPF curve ndio inasema kuwa investment kwenye public infrsatructures is better than investment on human capital in terms of university graduates???? Kazi kweli kweli
Anawabana mafisadi ili apige peke yake. ...kama kwenye ndege moja anapiga bilioni 250, je akinunua ndege 6??....ufisadi ulioripotiwa na CAG umefanywa na nani???...maana kila mtu anaogopa kupiga. [HASHTAG]#fumbuamacho[/HASHTAG]Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????
Upuuzi kufufua shirika la ATCL?
Upuuzi kuleta treni ya umeme?
Vyote vinahitajika lakini uwezo wetu ni mdogo therefore unachagua vipaumbele. Wewe unavipaumbele vyako na watawala wa sasa wanavipaumbele vyao ambavyo walivinadi wakati wa uchaguzi wa 2015 wakachaguliwa wa wapigakura! Na wewe kazana mwaka 2020 uvinadi vipaumbele vyako wakuchague!Mkuu at least bejeti ya wizara ya afya ipanuliwe kma wanagawa milion 50 kila kijiji walishindwaje kuwekeza million 50 kwenye kituo cha afya kikubwa at least kila vijiji vitatu iwepo moja
Yaani its easy to allocate fifity milion to every village ila its hard indeed to allocate same amount to facilitate health centers??? dah unaniangusha mkuu
Tunarudi pale pale. Kama collection yako ni ndogo wizara ya afya itapanuka vipi? Yaani wewe unapanga kujenga nyumba ya milioni 50 wakati una uwzo wa kupata milioni 5. You need to invest your 5 m so that you can get 50m in the longrunMkuu at least bejeti ya wizara ya afya ipanuliwe kma wanagawa milion 50 kila kijiji walishindwaje kuwekeza million 50 kwenye kituo cha afya kikubwa at least kila vijiji vitatu iwepo moja
Yaani its easy to allocate fifity milion to every village ila its hard indeed to allocate same amount to facilitate health centers??? dah unaniangusha mkuu
Mawazo yako unawaza kupiga au kupigwa tu kwa kuwa ulizoea kupiga au kupigwa. Mkuu tulia nchi inyooshwe!!Anawabana mafisadi ili apige peke yake. ...kama kwenye ndege moja anapiga bilioni 250, je akinunua ndege 6??....ufisadi ulioripotiwa na CAG umefanywa na nani???...maana kila mtu anaogopa kupiga. [HASHTAG]#fumbuamacho[/HASHTAG]
Inyooshwe kwa pasi ya umeme ilhali umeme hakuna?Mawazo yako unawaza kupiga au kupigwa tu kwa kuwa ulizoea kupiga au kupigwa. Mkuu tulia nchi inyooshwe!!
Hivi mnajua upungufu wa walimu wa sayansi kwa ratio ni ngapi?? Experts kwenye oil and gas au mambo ya mechanical engineering ni ngapi??? Yaani mnaona investment on human capital is nothing?? Kitabu gani cha uchumi unasoma mkuu hta PPF curve inatambua factors for outward shift of the ppf curve kuwa mojawapo ni Availability of skilled labor ssa iweje mpuuzie na kuona flyover is better than kutengeneza laborKwani tunaupungufu wa wasomi tz? Ndo iwe kipaumbele? Public infrastructure ndo kipaumbe kwa maendeleo ya nchi kwa sasa. Wasomi kwa sasa ni wengi kuliko uwezo wa kuwa ajiri ukiongeza infrastructure ita influence maendeleo ya nchi na wasomi watapata ajira. Fikiri beyond the box mkuu