- Thread starter
- #101
Akimshangilia. Wakati akiwa Waziri wa Ujenzi alipohudhuria sherehe zake za nyuma za kumfanya mgombeaji wa Urais kwa kiti cha ODMHebu tulia uteeleze vizuri juu ya hizo video ya kushangaza iliyomwonesha mpenzi wetu, baba yetu na raisi wetu
Hiyo video ilimwonesha raisi akifanya nini?
Toa habari acha kukimbia kimbia
Mbona kama unafukuzwa?
Sasa nakusikiliza nataka nielewe hiyo video iliyoonesha rais wetu maudhui yake yalikuwaje
"Mhudumu nipe Serengeti baridi usisahau grass "