Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Kumbe ndiyo maana kuna kauli mbilimbili..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una maana haya madharau dhidi ya covid19 yata backfire na kumpiga kulekule alikojificha?😎

Au unakusudia kusema nini?

Napita tu jameni....
Aiseeeee..
 
Nina mashaka sana na hata kujiuzulu kwa mwalimu nyerere.....itakuwa alilazimishwa....kuna invisible institute kwenye hii nchi inafanya hizi sarakasi
 
Hahaha angalia drama ya jumong....kuna gereza babaake jumong ...haemuso alifungwa bila mfalme kujua hilo gereza na waziri mkuu pia hakujua
 
Uzi huu naweka kumbu kumbu. Kuna jambo nyuma ya pazia watu wanaona sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…