Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Dah,we jamaa kweli ni wa huko ndani.Mkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah,we jamaa kweli ni wa huko ndani.Mkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
Kumbe ndiyo maana kuna kauli mbilimbili..!!!Tetesi zipo kitambo mbona, ila currently nadhani kambi itakuwa sambamba na ujenzi wa bandari ya Bagamoyo.
Inasemekana kuwa kwenye bandari hapo hapo ndo itakuwapo base yao (Navy) hivyo vitu kama ku-repair meli zao za kivita nk vitafanyika hapo.
Pia tetesi zinasema kuna gesi wanailenga (probably maeneo hayo kuna gesi au ile ya kusini).
Kiufupi kuna mambo mengi kwenye hiyo bandari ambayo watu hawayasemi.
Aiseeeee..Una maana haya madharau dhidi ya covid19 yata backfire na kumpiga kulekule alikojificha?😎
Au unakusudia kusema nini?
Napita tu jameni....
Uambiwe mara ngapi?
Sasa nimeanza kuelewa kwanini Polepole anasema mara Futungo ma maparare stateUambiwe mara ngapi?
BENI WALIMUUA ILI KURAHISISHA MAUJI YA MAGUFURI
Hatari na nusu.Stay tuned, kuna mada ningeipandisha hapa ungeelewa ila sasa nilitumia id nyingine kimkakati.
Na kweli muda uliongea 🤔Ngoja muda utupe muda mkuu.
Hapa ndo tunasubiriMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Nina mashaka sana na hata kujiuzulu kwa mwalimu nyerere.....itakuwa alilazimishwa....kuna invisible institute kwenye hii nchi inafanya hizi sarakasiHv wadau kama anachosema mtoa mada ni kweli hv ni nan katika nchi hii ni engineer wa kupanga hii mipango wakati Rais ndo top. Kuanzia mkurugenzi wa usalama wa taifa na vyombo vingine vya usalama wote wanaripoti kwake. Au kuna mtu mwngine nje ya mfumo Mwenye uwezo wa kuwaendesha hawa watendaj wengine bila rais kufaham?
Hahaha angalia drama ya jumong....kuna gereza babaake jumong ...haemuso alifungwa bila mfalme kujua hilo gereza na waziri mkuu pia hakujuaNi taasisi ambayo huwa ipo ndani ya serikali kwa Siri yaani hiyo taasisi inakuwa haijulikani kuwa ipo
Hata raisi wanchi anaweza asijue kuwa ipo !? Au akawa anajua lakini Taasisi hiyo inakuwa na mfumo imara ambao hauruhusu taasisi hiyo kuingiliwa na kiongozi yeyote yule wa Nchi kwaajili ya kulinda maslahi yake .Taasisi hiyo kazi yake Dhumuni la uwepo wake ni kulilinda taifa husika at any cost
Hapo alishajibia kuwa wamekubaliana wampe mda cos kakubali mashartiNa kweli muda uliongea [emoji848]
Mkuu umepanick Sana, relaxHii kenge huwa inajifanya kutabiri vifo vya watu
Kumbe nyuma ya pazia iko kwenye mipango ya kufanya mauaji
Siku yako itafika.
Uzi huu naweka kumbu kumbu. Kuna jambo nyuma ya pazia watu wanaona sana.Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Mkuu hapa umenitisha.Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Sijaishia kupanick tu, siku akitambulika atalipia kifo cha Magufuli.