Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Kama watu wanazusha si rais ajitokeze tu?

Hivi hamjajifunza kwenye kifo cha Magufuli?
Wewe ndio maana nikakuita mpumbavu. Yaani ajitokeze kwa ujinga ambao umeandikwa na mjinga mmoja mtandaoni? Huyo basi hatakua raisi atakua ni VEO

Kuhusu Magufuli na huu ujinga mnaoandika hapa unahusiana vipi?
 
Mkuu

Huku kwetu ukikabidhi hati ya uongozi UNAWEZA usirudi kabisaa!

huo sio utamaduni wetu! NADHANI tuendelee hivi hivi kufanya usiri wa afya za viongozi wetu!!!!

tuipende nchi yetu wakuu!!!
 
Unataka kusema mzee asiye penda misafara aanze kushona suti
 
Hakika mama yetu kipenzi Cha wapenda haki na usawa wa wote chukizo la wapumbavu na washamba plus malimbukeni!
NB nitampigia kura SSH ya urais( japo sijawahi muichagua CCM na umri huu wa nusu Karne) ila ubunge nitawapa wapinzani!!!
Mungu alimleta SSH baada ya kuona Taifa linaangamia kwa mauaji,ukabila,wizi,uonevu,ukanda,ushamba nk
 
Na kwa Sasa hatujui aliko ,tunataka kujua yu wapi mpendwa wetu!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…