NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Oohooooo huwa inaanza hivi hivi!Nasikia Mama hajaonekana siku ya kumi, kweli?
Hope ataongea na ku clear rumours!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oohooooo huwa inaanza hivi hivi!Nasikia Mama hajaonekana siku ya kumi, kweli?
Hana hoja yoyoteEmbu mjibu kwa staha...mwenzio ana hoja kutokana na past experiences
Wewe ndio maana nikakuita mpumbavu. Yaani ajitokeze kwa ujinga ambao umeandikwa na mjinga mmoja mtandaoni? Huyo basi hatakua raisi atakua ni VEOKama watu wanazusha si rais ajitokeze tu?
Hivi hamjajifunza kwenye kifo cha Magufuli?
Kwanza nimesapoti nini? Halafu tatizo liko wapi hadi uanze kuona kama vile kuhoji alipo Rais ni Uhaini??Aliyeandika na wewe uliyesupport kwenye comment utofauti wenu nini?
MkuuTatizo watu wengi hawaelewi kwamba Rais ni mali ya watanzania. Sasa kama watu wanahoji alipo, basi bila shaka kama yupo ajitokeze na kusema nipo na naendelea na kazi ya kuwatumikia,BASI.
Sielewi ni kwa nini watanzania wakiuliza alipo Rais wao huwa inakuwa Nongwa!!
Joe Biden alipokwenda kufanyiwa Operesheni, wamarekani walijulishwa na akaandika hati ya kumkabidhi Haris Kamala mamlaka ya Urais kwa muda. Sasa hapa ni lazima utukanwe na kutishwa, sielewi ni kwa nini!!
Hiyo sasa itakua sio nchi tena, yaani mjinga mmoja anaamka anaandika anachojisikia alafu raisi atoke aje kujibu? Hivi huwa mnatumia nini kufikiria?Oohooooo huwa inaanza hivi hivi!
Hope ataongea na ku clear rumours!!
Wapi nimesema ni uhaini? Mimi nilichosema ni kuwa nyie ni wapumbavu, wala sijasema nyie ni wahainiKwanza nimesapoti nini? Halafu tatizo liko wapi hadi uanze kuona kama vile kuhoji alipo Rais ni Uhaini??
Aisee!!!Mkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
MkuuHiyo sasa itakua sio nchi tena, yaani mjinga mmoja anaamka anaandika anachojisikia alafu raisi atoke aje kujibu? Hivi huwa mnatumia nini kufikiria?
Upumbavu wetu si unatokana na kuhoji alipo Rais, au upumbavu wetu unatokana na nini??Wapi nimesema ni uhaini? Mimi nilichosema ni kuwa nyie ni wapumbavu, wala sijasema nyie ni wahaini
Wewe huo unaona sio upumbavu?Upumbavu wetu si unatokana na kuhoji alipo Rais, au upumbavu wetu unatokana na nini??
CAG Report a.k.a stup&$@ itaondoka na mtuOohooooo huwa inaanza hivi hivi!
Hope ataongea na ku clear rumours!!
Hii?Hiyo dawa anayo yule jamaa aliepiga picha na wanaume TMK wa zamani kidogo!!
Hata kwa magufuli mlisema hivi hivi, mwisho wa siku mwamba kaanguka chaliiiiiKazini kwake umeenda ukamkosa? Au ulitaka apige picha akwambie yupo ofisini?
Unataka kusema mzee asiye penda misafara aanze kushona sutiWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Na kwa Sasa hatujui aliko ,tunataka kujua yu wapi mpendwa wetu!!??Hakika mama yetu kipenzi Cha wapenda haki na usawa wa wote chukizo la wapumbavu na washamba plus malimbukeni!
NB nitampigia kura SSH ya urais( japo sijawahi muichagua CCM na umri huu wa nusu Karne) ila ubunge nitawapa wapinzani!!!
Mungu alimleta SSH baada ya kuona Taifa linaangamia kwa mauaji,ukabila,wizi,uonevu,ukanda,ushamba nk
Huu ujinga ambao mmejipandikiza hautawatokaHata kwa magufuli mlisema hivi hivi, mwisho wa siku mwamba kaanguka chaliiiii