Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Halafu uzi wa franklin D roosevelt ulitoka mwaka jana mwezi wa tano!

Sasa sijui utekelezwaji wake ni wa tano mwaka huu au!!?
 
Daah Samia ulitabiriwa au jamaa alitoa mipango ya siri?
 
Rais ni mfanyakazi wa Watanzania. Muajiriwa wao.

Muajiriwa asipoonekana kazini, waajiri wana haki ya kujua kwa nini haonekani.

Anaumwa? Mzima? Kwa nini haonekani?
 
Wewe ndio maana nikakuita mpumbavu. Yaani ajitokeze kwa ujinga ambao umeandikwa na mjinga mmoja mtandaoni? Huyo basi hatakua raisi atakua ni VEO

Kuhusu Magufuli na huu ujinga mnaoandika hapa unahusiana vipi?
Rais ni mfanyakazi wa Watanzania, muajiriwa wao.

Kama waajiri walivyo na haki ya kujua muajiriwa yupo wapi, anafanya kazi au anaumwa, Watanzania nao wana haki hiyo.

Kuhusu Magufuli, na yeye alikuwa haonekani hivihivi, mkadanganywa na Majaliwa kwamba anachapa kazi. Kumbe mtu anajifia.

Bado hujaona hatari tu kwamba rais anaweza kuwa kashakufa, watu wanaiba hela kwa jina lake, na wewe unaambiwa rais anachapa kazi tu?
 
Maana yake Mpango atajiuzulu umakam kwa skendo wakati akiwa waziri wa fedha!

Then atateuliwa makam mwingine labda ino,Rashidi,

Halafu namba moja ajiuzulu kwa kashfa fulani huyo makam mteule anakuwa namba moja sio!!!?
 
Kwa hiyo kwa kuwa ilitokea kwa Magufuli basi kila mwaka kazi yenu ni kuamka na kuuliza? Hapo ndio nimeshindwa kukutofautisha wewe na mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…