NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Hapana ile ya Born town majuzi!
Halafu futa mkuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ile ya Born town majuzi!
Halafu uzi wa franklin D roosevelt ulitoka mwaka jana mwezi wa tano!Tatizo watu wengi hawaelewi kwamba Rais ni mali ya watanzania. Sasa kama watu wanahoji alipo, basi bila shaka kama yupo ajitokeze na kusema nipo na naendelea na kazi ya kuwatumikia,BASI.
Sielewi ni kwa nini watanzania wakiuliza alipo Rais wao huwa inakuwa Nongwa!!
Joe Biden alipokwenda kufanyiwa Operesheni, wamarekani walijulishwa na akaandika hati ya kumkabidhi Haris Kamala mamlaka ya Urais kwa muda. Sasa hapa ni lazima utukanwe na kutishwa, sielewi ni kwa nini!!
Kwahiyo Tumia akili atakuwa yuko mikono salamaWatu aliowaamini wamemuangusha.Ilitakiwa awe kama Putin,hakuna kuamini mtu yeyote.
Aliambiwa aage kabisaa kwa maana hatorudi!Kwahiyo Tumia akili atakuwa yuko mikono salama
Dah Mungu amlinde huyu mamaSasa hivi GENTAMYCINE anasema mama anarandaranda Duniani kusaka tiba ya ugonjwa usiojulikana
Daah Samia ulitabiriwa au jamaa alitoa mipango ya siri?Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Daah yametukia
Anafunga yupo kapumzikaNa kwa Sasa hatujui aliko ,tunataka kujua yu wapi mpendwa wetu!!??
Nakutafuta hupatikani, nicheki plzDah Mungu amlinde huyu mama
Huyu jamaa duhStay tuned mkuu, mambo yanakaribia kuanza..
Ya Mungu mengi ila anafaa na ana kaudhubutu flani hivi, dah ila watanzania tutafika mbinguni tumechoka sanaKwa hiyo Mpango atakuwa Rais kabla ya 2025.
Una tatizo lolote la akili?Ya Mungu mengi ila anafaa na ana kaudhubutu flani hivi, dah ila watanzania tutafika mbinguni tumechoka sana
Unaelewa kazi ya rais ni nini?Kazini kwake umeenda ukamkosa? Au ulitaka apige picha akwambie yupo ofisini?
Rais ni mfanyakazi wa Watanzania. Muajiriwa wao.Tatizo watu wengi hawaelewi kwamba Rais ni mali ya watanzania. Sasa kama watu wanahoji alipo, basi bila shaka kama yupo ajitokeze na kusema nipo na naendelea na kazi ya kuwatumikia,BASI.
Sielewi ni kwa nini watanzania wakiuliza alipo Rais wao huwa inakuwa Nongwa!!
Joe Biden alipokwenda kufanyiwa Operesheni, wamarekani walijulishwa na akaandika hati ya kumkabidhi Haris Kamala mamlaka ya Urais kwa muda. Sasa hapa ni lazima utukanwe na kutishwa, sielewi ni kwa nini!!
Hii Imetukosti wengi sana, kumwamini mtu sana kuna tabu zake badaeWatu aliowaamini wamemuangusha.Ilitakiwa awe kama Putin,hakuna kuamini mtu yeyote.
Rais ni mfanyakazi wa Watanzania, muajiriwa wao.Wewe ndio maana nikakuita mpumbavu. Yaani ajitokeze kwa ujinga ambao umeandikwa na mjinga mmoja mtandaoni? Huyo basi hatakua raisi atakua ni VEO
Kuhusu Magufuli na huu ujinga mnaoandika hapa unahusiana vipi?
sawa!![emoji24]Anafunga yupo kapumzika
Maana yake Mpango atajiuzulu umakam kwa skendo wakati akiwa waziri wa fedha!Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Wewe unaelewa kazi yake ni ipi?Unaelewa kazi ya rais ni nini?
Kwa hiyo kwa kuwa ilitokea kwa Magufuli basi kila mwaka kazi yenu ni kuamka na kuuliza? Hapo ndio nimeshindwa kukutofautisha wewe na mpumbavuRais ni mfanyakazi wa Watanzania, muajiriwa wao.
Kama waajiri walivyo na haki ya kujua muajiriwa yupo wapi, anafanya kazi au anaumwa, Watanzania nao wana haki hiyo.
Kuhusu Magufuli, na yeye alikuwa haonekani hivihivi, mkadanganywa na Majaliwa kwamba anachapa kazi. Kumbe mtu anajifia.
Bado hujaona hatari tu kwamba rais anaweza kuwa kashakufa, watu wanaiba hela kwa jina lake, na wewe unaambiwa rais anachapa kazi tu?