Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Hii kuficha ficha mambo sio nzuri watu wanakuwa na wasiwasi mwingi hata picha za Jana tutaaminije ni current
 
Alikuwa mwoga kupita kiasi
 
Ataondoka tu ila uzuri nasikia 2025 hata chukua kiti ataachia wengine
Yes kikubwa uzima na uhai 2025 astaafu zake Kwa amani nchi ngumu hii na maji yanazidi unga maskini Hadi urembo wote umekwisha
 
Yes kikubwa uzima na uhai 2025 astaafu zake Kwa amani nchi ngumu hii na maji yanazidi unga maskini Hadi urembo wote umekwisha
Maana atakuwa 63/64 anapaswa apumzike tu vinginevyo watamtoa yeye na JK
 
Sure Kwa kweli
Maana ukifatilia ile video iliyowekwa na ikulu jana, Rais ni mgonjwa au alikuwa mgonjwa, wamemleta makusudi tuaonekane.

Kingine alikuwa na shughuli alitakiwa aonekane tarehe 9/04 kwenye mashindano ya Quran ila alimtuma Mwinyi kumwakilisha
 
Ila Kwa ile video hata usoni inaonyesha hatuko sawa hata tembea yake na hizo video what if zilikuwa za siku nyingi huko
 
Mlilipanga hili siyo?
 
Una jamaa huko Twitter ameanza kuhoji mama yuko wapi au ongoing plan nini? [emoji848] [emoji848]
 
Umeshachelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…