cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hii kuficha ficha mambo sio nzuri watu wanakuwa na wasiwasi mwingi hata picha za Jana tutaaminije ni currentMimi sijaziona na wala sijali, I don't even listen to the speeches tangu Magufuli.
Ila for the sake of Tanzanians, she better show up.
Experience waliyoipata ya Rais kupotea, halafu kuambiwa kwamba anachapa kazi, halafu kujua kumbe alikuwa anajifia zake ni mbaya sana.
Si unajua tena Waswahili wanasema aliyeumwa na nyoka akiona unyasi anasituka?