Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Hiyo #29 inatakiwa ufafanuzi zaidi kwa namna ulivyofikiri iwe.

Ni kweli mikopo haina tija kwa wanufaika, je Benki hazipati tija kukopesha wafanyakazi?

Kwa nini iwe kwa wafanya biashara tu?
Hapo nahitaji ufafanuzi zaidi.
 
Ondoa ujinga wa degree na masters na futa 28 & 29
 
Umaamuma wa katiba
 
Mzee wa mipango ni mpango mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…