Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Itakuwa ajabu ya karne, na uzi wako nitauhifadhi kwenye kumbu kumbu, ila uwe na hakika na ulicho andika, uzushi huu usije kukusuta baadaye
 
Ni taasisi ambayo huwa ipo ndani ya serikali kwa Siri yaani hiyo taasisi inakuwa haijulikani kuwa ipo


Hata raisi wanchi anaweza asijue kuwa ipo !? Au akawa anajua lakini Taasisi hiyo inakuwa na mfumo imara ambao hauruhusu taasisi hiyo kuingiliwa na kiongozi yeyote yule wa Nchi kwaajili ya kulinda maslahi yake .Taasisi hiyo kazi yake Dhumuni la uwepo wake ni kulilinda taifa husika at any cost

Deep stick, lip stick, deep state
 
Nipo bussy but nitawaletea kilichopo nyuma ya pazia, usitamani yakukute yajayo.
Syo ukae huko mpaka tuusahau huu uzi ,Kila unachokipata huko tuletee hapa tuunganishe nukta
 
Nipo bussy but nitawaletea kilichopo nyuma ya pazia, usitamani yakukute yajayo.
Yaana mema yeyote kweli kwa hii nchi yetu? Maana VP mwenyewe tumeanza kuona akitoa maagizo zikusanywe tril 2 kwa mwezi, vipi akipewa Rungu si tutachakaa kabisa wafanyabiashara
 
Ina maana marehemu na watu wake hawakuona huu uzi waongeze ulinzi.
 
Back
Top Bottom