Rais amefanya ziara Kisarawe na kuzindua Mradi mkubwa wa Maji Wilayani humo

Alichomwambia DAS mpya β€œNendeni mkagombee wanaume na mwenzako niwatumbue wote...” (DC Jokate) nimekwazika sana.
Tumefikaje hapa jamani? [emoji3064]
 
DAS katumbuliwa sababu alikuwa akila mizigo.....

Ukute kamtongoza Joketi.

Afisa Tawala Kaula kawa DAS
Mwanana Msumi Hoyee
Wewe Una Elimu Gani
Masters
Kuanzia Leo Wewe Ndiyo DAS Kisarawe
Nenda Ukafanye Kazi, Sasa Wewe Na Mkuu Wa Wilaya
Mkagombee Wanaume Ili Wote Niwatumbue
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£

Mapenzi Hatari, Watu Wanapenda Kuloweka
Hata Ile Ya Sweet Kitunguu Naisikiliza πŸ€£πŸ˜…πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜
 
Mtela Mwampamba amelipwa alichopanda.. sasa akawe mtendaji wa kijiji huko Mwanerumango.
 
Das Alikuwa Analoweka Na Mtendaji Ambaye Ni Mke Wa Mtu. Hatari Sana, Leo Ni Leo
 
Ziara Ya Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Inaendelea Atakagua Reli Ya SGR Na Kuongea Na Wananchi Kwenye Ukaguzi Wake Pia
Tuendelee Kufuatilia Kupata Habari Nzuri Na Mambo Yote .

Watu Wa Morogoro Wajiandae Kupata Baraka Za Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Hakuna Jiwe Litakalosalia Juu Ya Jiwe!!
 
Ndugu Zangu Wazaramo Kuna Mambo Mnashindwa Sana
Mkuu Wa Wilaya Hajaolewa Ninyi Mnashindwa Nini Kumuoa. πŸ˜€πŸ˜πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒ
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Nilisema mkuu pale mwanzoni kabisaaaaaa naona watu povu liliwatoka sasa waje tena.
 
Mule mule. Acha kwa leo niji quote kwa kuijua vyema akili ya mukulu!
 
Kuolewa ni ngono?
 
Nilisema mkuu pale mwanzoni kabisaaaaaa naona watu povu liliwatoka sasa waje tena.
Ni Kweli
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ameliona Vema Kama Ulivyotoa Angalizo
Bila Shaka Wote Wasio Kwenye Mchakato
Wale Wa Dodoma Na Hapo Kisarawe
Wanahaha Kutafuta Wenzao Haraka Sana
πŸ™„πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£
 
Masikini Mwampamba. Kaendekeza ngono kapigwa chini. Aibu kubwa sana hii.
 
Kazi maalum
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Yupo Kwenye Mradi Wa SGR Muda
Akikagua Maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…