Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Nyerere mara ya kwanza alichaguliwa kwa lipi alilokuwa amefanya?Halafu mwendawazimu asimame aseme anataka anamtaka Membe kwa lipi au ile mipasho!
Kachukue vitabu vya historia!Kwani Nyerere mara ya kwanza alichaguliwa kwa lipi alilokuwa amefanya?
Naona kachomekea lkn yule aliyekua anamsaidia kazi mkuu kamtumbua fastaaa...Hawezi.. Ni chakula ake
JPM NA JAFO WANATUFAA SANA.Hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jaffo
Amemshukuru Rais kwa kumpa dhamana ya kuhudumu katika Ofisi yake pamoja na kuwashukuru Wanakisarawe kwa kumpa nafasi kama Mbunge wao.
Iwe kazi au la, utakavyokupendeza.Kazi maalum
Mzee amestaaf hayo mambo mkuuHawezi.. Ni chakula ake
Mkuu inaelekea uko vizuri, ila mahaba ya siasa yamekuzidi ndiyo maana umeamua kuongea uongo ulioaminishwa kuwa ukweli bila kujiongeza mwenyewe hata kwa 30/%. Assume ni uongo 100%, utajisikiaje km una hofu ya Mungu?Ukweli unabaki ukweli na uwongo hujitenga. Haipendezi katu kudanganya umma ili kupata huruma yao iwe mtaji wa kisiasa.
Mimi kama mimi sipendezwi na nachukia kusikia uwongo na kashfa za kizushi dhidi ya utawala. Kama kuna makosa yanatendwa yakosolewe kwa lugha ya kistaarabu siyo inayotumiwa na viongozi wa upinzani na wafuasi wao wa kwenye mitndao ya kijamii. Humu wamo wengi tu, na wamegeuza JF kijiwe cha kushindana uzushi, uwongo na matusi. Hakuna shaka yoyote wanafuata nyao za viongozi wao.
Mada KUU ni kuhusu ufunguzi wa mradi wa maji, kumtua mama ndoo kichwani. Mjadala unabadilishwa kuwa matusi, tena ya nguoni, dhidi ya viongozi. Nisingenyamaza ikabidi nami niwatolee uvivu kwa kuwakumbusha kitendo cha aibu na fedheha alichokifanya Kiongozi wao Mkuu, wampambae kwa jina la MWAMBA.
Nina hofu ya Mungu ndiyo maana nachukia waongo, wazushi na wafitinashaji. Kilicho kibaya ni matumizi ya lugha ya matusi katika hoja, hata ikiwa ya maana inapoteza umaana wakeMkuu inaelekea uko vizuri, ila mahaba ya siasa yamekuzidi ndiyo maana umeamua kuongea uongo ulioaminishwa kuwa ukweli bila kujiongeza mwenyewe hata kwa 30/%. Assume ni uongo 100%, utajisikiaje km una hofu ya Mungu?
Sawa SawaTanzania Yetu “Friends Of Magufuli” kutoka Pwani, matukio kwa pichaView attachment 1491603View attachment 1491604
Tunangoja Utekelezaji Wa Agizo La Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Waoe/Waolewe"Ni aibu kuwa na mkuu wa wilaya ambaye hajaolewa, wewe Jokate umri umeenda uolewe sasa. Nasema uwongo jamanii?"
Jokate: Nitaolewa kutekeleza agizo la Rais Magufuli
Hayo ndiyo mambo ya walamba viatu na mkuu wao. Kwa leo wataegemea huko kwenye ngono ngono.