Rais amefanya ziara Kisarawe na kuzindua Mradi mkubwa wa Maji Wilayani humo

Muda Huu Changizo Kwaajili Ya Shule Ya Msingi
Madarasa Yanavuja Hivyo
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Anafanya Majukumu Yake
Pesa Zimefika Millions 16
 
Shule Ya Msingi Imechangiwa Millions 68 Na Laki Tano
 
Kesho
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Atakuwa Ziarani Mkoa Wa Morogoro Kuweka Jiwe La Msingi Kwenye Mahandaki Ya Reli Ya SGR
Mambo Yanakwenda Vizuri

Tanzania Ni Tajiri Sana, Uchumi Wa Kati
 
Hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jaffo
Amemshukuru Rais kwa kumpa dhamana ya kuhudumu katika Ofisi yake pamoja na kuwashukuru Wanakisarawe kwa kumpa nafasi kama Mbunge wao.
JPM NA JAFO WANATUFAA SANA.
 
Kazi maalum
Iwe kazi au la, utakavyokupendeza.

Kuna watu humu JF wanatumia vibaya uhuru wa mawazo. Ukisoma bandiko zao huwezi kuamini mwandishi wake kama ana wazazi/familia, kichaa, mwendawazimu, mtoto, au kijana chokoraa.

Wenye tabia hiyo bila shaka hata maisha yao ni ya hovyo hovyo tu.
 
Mkuu inaelekea uko vizuri, ila mahaba ya siasa yamekuzidi ndiyo maana umeamua kuongea uongo ulioaminishwa kuwa ukweli bila kujiongeza mwenyewe hata kwa 30/%. Assume ni uongo 100%, utajisikiaje km una hofu ya Mungu?
 
Nina hofu ya Mungu ndiyo maana nachukia waongo, wazushi na wafitinashaji. Kilicho kibaya ni matumizi ya lugha ya matusi katika hoja, hata ikiwa ya maana inapoteza umaana wake
 
Nina hofu ya Mungu ndiyo maana nachukia waongo, wazushi na wafitinashaji. Kilicho kibaya ni matumizi ya lugha ya matusi katika hoja, hata ikiwa ya maana inapoteza umaana wake
Kabisa
 
Tunangoja Utekelezaji Wa Agizo La Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Waoe/Waolewe
Ameshawataja Wale Wa Dodoma/Kisarawe
Tunategemea Hawata Kuwa Wasanii πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£
 
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…