Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
tabia ya mtu kweli haijifichi. huo ndo uhalisia wa yule kiumbe.
 
Mmmmmh hiyo ita kuwa kali coz huyo wanae mwita mange ametoa kauli kali saana kwenye ukurasa wake wa instagram kwamba ata wataja mabinti wote waliozaa na.....
.............. Noma saana. Yaani
Anamaanisha waliozaa na Sizo...... ?
 
Yani mkuu wa mkoa kuitwa Ikulu basi imekuwa story!!?
Comment za hapo juu zinashangaza sana
Yani tetesi ya mkuu wa mkoa kuitwa ikulu, haina uhakika ni tetesi na pia hata alichoitiwa hakijafahamika.
Mtu unakuja mbio humu.!
Labda ameitwa akanywe chai ee...
 

Naomba Mimi na Wewe tubeti Mkuu Mimi naweka mtonyo Wewe niwekee mbunye yako au nyero lako tu nakuhakikishia RC Makonda muda wowote Rais JPM anatengua Ukuu wake wa Mkoa. Nasubiri jibu la Kubetiana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…