Rais ana taarifa nyingi za siri, hakukurupuka kusema wanafanya hivyo kwa sababu ya "2025 fever". Muda ni hakimu wa haki

Rais ana taarifa nyingi za siri, hakukurupuka kusema wanafanya hivyo kwa sababu ya "2025 fever". Muda ni hakimu wa haki

Pia hawezi ambiwa ukweli wakati wote
Labda nikusaidie, kuna TISS na kuna Military Intelligence (MI) iliyo chini ya JWTZ na kuna PSU. Hawa wote hawana ushirikiano na wanachunguza na kufikisha taarifa kwa Rais

Lile povu la mama ni kwa sababu anamjua yule katili Ndugai kwa undani. Ndugai is simply rubbish na wote waliokuwa wanaona anafaa ni rubbish pia
 
Mh. Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa Marais wachache wenye utu, maono na mitazamo chanya kwa taifa ambao nchii hii imebarikiwa kuwa nao tangu tupate Uhuru. Japo nakiri kwamba kama binadamu hawezi kukosa mapungufu.

Maoni yangu ni kwamba kuna baadhi ya watu wameshindwa kunufaika na uwepo wake ambao wanaamini wanastahili kunufaika. Hawa watu ni "very smart" na wanaendesha mambo yao Kwa akili nyingi kiasi kwamba kila tatizo linalotengenezwa na watu hawa linahitaji akili kubwa kulitatua Kwake.

Vinginevyo mama atabaki kuwa mshindi aliyeshindwa na walioshinda wanabaki kuwa washindi.

Mifano ya matukio haya ni mingi, likiwemo la hivi karibuni la yule mh. aliyejiuzulu ukuu wa mhimili pale mjengoni.

Nawasihi ndugu zangu tuendelee kumuunga mkono Mh. Rais kwakua ameonesha uwezo mkubwa kiongozi.

Ameonesha upendo mkubwa Kwa nchi na watu wake.

Ndimi, mwalimu wa chekechea.
 
Anaweza kutafuta taarifa moja kwenye chanzo zaidi ya kimoja. Je vyote vitamdanganya?
Hakuna linaloshindika, anaweza kudanganywa, pia anaweza kutafuta hizo taarifa kwenye vyanzo mbalimbali na kupata ukweli.

Tukumbuke kuwa wanaompa taarifa lazima wazichambue na kutia nakshi ili zipendeze masikioni mwa muhusika. Huko kwenye kutia nakshi ndipo penye uongo sasa.
 
Chawa wa mama!
.
Kwani kama mtu ana nia ya kugombea 2025 shida iko wapi?
Si ndio democrasia hiyo?

Hangaya ni mwoga
Hiyo democrasia ungeanza kuitetea enzi za Magufuli lakini enzi zile uliona ni sahihi one man show na ukandamizaji wa demokrasia.

Kwasasa hutaaminika kamwe ulitakiwa uwe mkweli tangu awamu ya 5 sio kubadilisha gia angani baada ya maslahi yenu haramu kuguswa.
 
Maslahi yapi?

Mimi siyo bendera fuata upepo
 
Chawa wa mama!
.
Kwani kama mtu ana nia ya kugombea 2025 shida iko wapi?
Si ndio democrasia hiyo?

Hangaya ni mwoga
Membe alipotangaza kugombea ndani ya chama mwaka 2020 ili achuane na Magufuli mlimuona ni adui namba moja hadi kumfukuza uanachama na mkashangilia. Hapo demokrasia ilikuwa likizo?
 
Membe alipotangaza kugombea ndani ya chama mwaka 2020 ili achuane na Magufuli mlimuona ni adui namba moja hadi kumfukuza uanachama na mkashangilia. Hapo demokrasia ilikuwa likizo?
Hiyo ina halalisha mama nae kujifanyia hivyo?
 
Back
Top Bottom