Rais ana taarifa nyingi za siri, hakukurupuka kusema wanafanya hivyo kwa sababu ya "2025 fever". Muda ni hakimu wa haki

Rais ana taarifa nyingi za siri, hakukurupuka kusema wanafanya hivyo kwa sababu ya "2025 fever". Muda ni hakimu wa haki

Ulitakiwa uwe kimya ama ushabikie kama ulivyofanya 2020. Sasa unapojifanya kubadilika baada ya mama kufanya alichofanya mtangulizi wake ndo maana nakuona una chuki binafsi kwa mama Samia.
Kwa akili ndogo tu na kwa chawa wa mama wanaona ni chuki!
 
Unafikiri kila mtu analipwa?
Sawa, lakini kipindi cha jiwe ulikuwa unalipwa na slow slow ndiyo maana nikauliza hivyo, ila kama si kweli basi niwie radhi mkuu. Kabudi nasikia karudi jalalani, ni kweli?
 
Mbona hata nyie mlikua chawa wa magufuli shida iko wapi? Kutesa kwa zamu huyo mama mpaka 2030 mtatia akili pumbavu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sasa kuna mtu kabisha?
.
Sasa hii nchi asiposhika mtu wa ccm ambae kwa sasa ni Samia atashika nani? Lisu?

Sasa akishika mwanaccm haimaanishi asikosolewe!

Na Samia 2025 atashinda kwa kishindo maana sasa hivi ana uungwaji mkono toka hata kwa wapinzani ili kumkomoa Magu na Ndugai!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi ina vituko hii!
 
Sawa, lakini kipindi cha jiwe ulikuwa unalipwa na slow slow ndiyo maana nikauliza hivyo, ila kama si kweli basi niwie radhi mkuu. Kabudi nasikia karudi jalalani, ni kweli?
Hebu weka muamala hapa tuone!

Hivi unadhani tuko facebook hapa?
 
Sasa kuna mtu kabisha?
.
Sasa hii nchi asiposhika mtu wa ccm ambae kwa sasa ni Samia atashika nani? Lisu?

Sasa akishika mwanaccm haimaanishi asikosolewe!

Na Samia 2025 atashinda kwa kishindo maana sasa hivi ana uungwaji mkono toka hata kwa wapinzani ili kumkomoa Magu na Ndugai!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi ina vituko hii!
Jiueni ikibidi hakuna namna ccm yenu viongozi wenu [emoji1787][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kitendo cha kusema " mtaamua wengewe 2025 muendelee na hawa wanaokopa kopa au mchague wengine ..." si ya kiuongozi ikizingatiwa spika ŋdugai ana 'platforms' nyingi za kupeleka ujumbe kwa mamlaka husika na ukafika haraka.
Hii kauli ilikuwa ya kuibagaza taasisi ya urais
 
Rais anategemea kuletewa taarifa mezani, je akidanganywa?
Kwa hili mla Ndugai, hakudanganywa. Aliyasikia mwenyewe. Inabidi tukumbuke kuwa kila mhimili, yaani serkali, bunge, na mahakama lazima zifanye kazi kitaaluma. Maana yake ni kuwa serkali itaheshimu maamuzi ya mahakama na bunge. Bunge litaheshimu maamuzi ya serkali na mahakama yanayofuata sheria. Vivyo hivyo mahakama itaheshimu maamuzi ya bunge na serkali yasiyokiuka sheria. Ni udhalilishaji mahakimu au wabunge kuingia kwenye majukwaa kupinga serkali au kumpinga raisi kwa maamuzi yaliyofuata sheria.

Ndugai anahusika na upitishaji wa sheria na bajeti. Sheria au bajeti ikipitishwa na bunge hakuna uhalisia kwa bunge au kiongozi wa bunge kulaumu utekelezajio wa sheria iliyopitishwa. Kwa matamshi Ndugai sikushangaa, maana mufupi tu baada ya bunge analoliongoza kupitisha tozo alijitangaza kama mpinga tozo. Je, wakati sheria ya tozo inapitishwa Ndugai alikuwa wapi. Kwa nini hakuchangia ili kutoa duikuduku zake. Kwa nini angoje sheria ipitishwe ndiyo apinge. Hata hilo la mikopo. Ndugai anajuwa hilo limo kwenye mipango ya maendeleo. Nchi huwa haikopi pesa ambayo haiko ndani ya bajeti. Bunge lilipitisha mikopo hiyo, ila labda huenda hawakujuwa inatoka wapi. Wakati bunge linajadili hiyo mikopo Ndugai alikuwa huru kutoa dukuduku lake.

Ikumbukwe bunge linaweza kukataa mswaada wowote wa serkali. Bunge likiukataa huo mswaada, raisi ataurudisha mswaada tena, na ukikataliwa tena, raisi anaweza kukubali yaisha au atavunje bunge na kuitisha uchaguzi upya. Kama wabunge watarudi wote au sehemu kubwa mswaada utarudishwa na ukikataliwa huo utakuwa mwisho wa mswaada. itabidi afanye taratibu za kulivunja bunge, na kuitisha uchaguzi
 
Back
Top Bottom