Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

Kwa hio bwana zele aliposema hatojiunga na NATO nakuwaomba urusi waondoshe majeshi alikuwa ajui anacho ongea .sawa nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinyume cha demokrasia ni udikteta, Kinyume cha ubepari ni ujamaa.
Demokrasia inaweza kutofanya kazi vizuri ikiwa taifa lina vilaza wengi, lakini hakuna uzuri wowote katika udikteta.
All in all demokrasia ni nzuri ikitumika katika usahihi Ila ni mbaya isipotumika katika usahihi ni Kama ujamaa tuu una faida na hasara zake usipo tumika katika usahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Term limit iliondolewa tangu mwaka 2018, na Xi akaongezewa nguvu kama za Mao, na ujue tu nguvu ya Xi ni kubwa kuliko nguvu aliyokuwa nayo Hu jintao baada ya mabadiliko ya 2018.
 
Sina lakuwaelezea hawa wakaelewa
Maana wamekua brain washed vyakutosha sana
Ila US labda imeizidi UCHINA kwenye mauaji ya raia wao kuuana kwa silaha ila UCHINA iko mbali sana
Wakisema kwamba sababu demokrsia nitawauliza ama nitawaambia wanitajie nchi tano DUNIANI zinazoongozwa kidemokrasia ambazo zimeizidi UCHINA kwenye angle yeyote yakimaendeleo au angle KUU tatu za KISIASA KIUCHUMI na KIJESHI
Nakama hakuna waniambie inamaana gani yakufuata DEMOKRASIA kama haina mana
 
... siasa za China zina ubora gani kuzidi za Marekani?
Kwanza kabla yakuniuliza ubora wa siasa za UCHINA ulitakiwa unielezee ubora wasiasa za US
Ila ntakupa moja tu SIASA za UCHINA zimesababisha UCHINA kua na amani na USALAMA zaidi kuliko US mara 100
 
Belt $ Road Initiative imezitumbukiza nchi kadhaa kwenye madeni yasiyolipika.
'Debt trap'
Ni kweli kabisa. Mzigo wa madeni wa China kwa Mataifa mbalimbali Maskini Duniani yataanza kuonekana Soon.

Nenda Slilanka Uchumi unaelekea kusambaratika kwasababu ya External Dept hasa kutoka China. China inaidai Slilanka zaidi ya $ 109B na Sasa Uchumi wa Slilanka Unaelekea Shimoni.

Mataifa mengi yanayoidai Slilanka madeni hasa (India,Japan,S.Korea,Marekani,EU) na WB wameisamehe Slilanka isilipe madeni yake kwa miaka 4 ijayo ili kuurekebisha Kwanza Uchumi wake ulioko taabani. Cha kushangaza China imegoma kusamehe Deni lake mpaka Slilanka inaanza kufanya Default ya Uchumi,hapa utaongezeka mfumko wa Bei balaa. China sio nchi ya kukimbilia Kama haujajipanga.
 
Unafahamu jinsi maendeleo ya nchi yanavyopimwa?

Unafahamu vigezo vinavyotumika kusema nchi fulani ni tajiri/imeendelea, inaendelea au ni maskini??
 
Vigezo gani unatumia kupima usalama na amani katika nchi?
Kwanza kabla yakuniuliza ubora wa siasa za UCHINA ulitakiwa unielezee ubora wasiasa za US
Ila ntakupa moja tu SIASA za UCHINA zimesababisha UCHINA kua na amani na USALAMA zaidi kuliko US mara 100
 
Vigezo gani unatumia kupima nguvu za kijeshi kati ya nchi tofauti?
 
Vigezo gani unatumia kupima ubora wa siasa za nchi?
 
Vigezo gani unatumia kupima ubora wa siasa za nchi?
CHINA umewahi sikia wakilumbana kama walivyolumbana US mpaka wakavamia majengo ya bunge
Ile imechagizwa na SIASA chafu mbovu nazilizochakaa za US
 
Vigezo gani unatumia kupima usalama na amani katika nchi?
Usalama na AMANI umewahi kusikia mauaji holela ya RAIA wa UCHINA kama yanayotokea US kila leo kuuana kwa silaha
Ule niukosefu wausalama na amani wa huko US
 
Kwanza kabla yakuniuliza ubora wa siasa za UCHINA ulitakiwa unielezee ubora wasiasa za US
Ila ntakupa moja tu SIASA za UCHINA zimesababisha UCHINA kua na amani na USALAMA zaidi kuliko US mara 100
... neno "bora" ulianza wewe kuli-introduce kwenye mjadala huu; you are the one who is supposed to elaborate the word in the context of the Chinese politics before I elaborate in the context of the US. Hoja ulete wewe, badala ya kuifafanua upate majibu unataka uliyemletea afafanue yeye wakati majibu unayo wewe! How?
 
Kama US haina usalama kwa nini Wachina takribani 100,000 wameomba hifadhi ya ukimbizi Marekani?
Usalama na AMANI umewahi kusikia mauaji holela ya RAIA wa UCHINA kama yanayotokea US kila leo kuuana kwa silaha
Ule niukosefu wausalama na amani wa huko US
 
China hata mikutano ya kisiasa hairuhusiwi, kinachoruhusiwa ni vikao vya chama cha Kikomunisti tu.
Watu watalumbana na kuandamania wapi??
CHINA umewahi sikia wakilumbana kama walivyolumbana US mpaka wakavamia majengo ya bunge
Ile imechagizwa na SIASA chafu mbovu nazilizochakaa za US
 
Hiyo sio hoja, inategemea wananchi hao wana uelewa kiasi gani na pia hayo mataifa ya kiimla wananchi hua wana heshima ya woga sana hivyo kura yoyote ya maoni ktk nchi hizo haiwezi kutiliwa maanani kwa sababu ya namna mifumo ya kibabe inavyofanya kazi ktk nchi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…