DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Ila Unawamini CGTN na RT au sio?Sisi hatuwaamini waMagharibi, wana propaganda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Unawamini CGTN na RT au sio?Sisi hatuwaamini waMagharibi, wana propaganda sana.
Kwa hio bwana zele aliposema hatojiunga na NATO nakuwaomba urusi waondoshe majeshi alikuwa ajui anacho ongea .sawa nimekuelewaKwanza Unachanganya mambo mengi sana na pia usijiingize kwenye kejeli za watu wenye akili ndogo kufikiri comedians ni wata hovyo au wa kiwango cha chini, fahamu kwanza wachekeshaji ni watu wenye uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wanasiasa wengi, kuwafanya watu wacheke sio kazi rahisi.
Pili, fahamu Zelenskyy hajawahi kusema anataka kujiunga na NATO, hata angetaka asingeweza bila bunge la Ukraine kupitisha na Zelenskyy hana control ya bunge nchini kwake.
Tatu, Marekani haijawahi kuiwekea China vikwazo "sanctions" wewe utakuwa unazungumia "tarrifs" za biashara ambazo kila nchi duniani huwa inaziweka dhidi ya washindani wake, kinachobadilika huwa ni viwango na aina ya bidhaa.
Kuna mambo mengi huyajui kuhusu siasa na uchumi nje ya nchi yako ila unataka kujifanya unayafahamu vizuri sana, ni vyema ungejifunza kwanza kabla ya kuandika.
All in all demokrasia ni nzuri ikitumika katika usahihi Ila ni mbaya isipotumika katika usahihi ni Kama ujamaa tuu una faida na hasara zake usipo tumika katika usahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Term limit iliondolewa tangu mwaka 2018, na Xi akaongezewa nguvu kama za Mao, na ujue tu nguvu ya Xi ni kubwa kuliko nguvu aliyokuwa nayo Hu jintao baada ya mabadiliko ya 2018.Hakuna io kitu Ila Xi Jinping anategemea kuongezewa Third term(muhula wa tatu) Mwaka huu baada ya kutawala kwa awamu mbili maana Mwaka huu china Wana Two political session ,na sio kutawala mpaka kifo swali je akifikia katika hali ya umri mrefu na udhoofu wa hali ya mwili Kama Biden unafikiri atakuwa na uwezo wa kutawala? jibu ni hapana china hawawezi fanya upumbavu huo
Sent using Jamii Forums mobile app
KISIASA KIJESCHI KIUCHUMI nk... inategemea "bora" kwa context yako unamaanisha nini.
... siasa za China zina ubora gani kuzidi za Marekani?KISIASA KIJESCHI KIUCHUMI nk
Sina lakuwaelezea hawa wakaelewaHivi hawa wanafahamu ni kwa namna gani mpaka mtu anakuwa kiongozi katika nchi ya china na mpima kwa vigezo gani na anachunguzwaje na kuwa kiongozi?. Hivi hawa wanafahamu kuhusu political buro ya uchina wanaochaguliwa kwa vigezo vipi?.Hivi hawa wanafahamu kuwa Xi Jinping kabla ya kuwa raisi wa China amekuwa katika ngazi mbalimbali za uongozi kwa miaka takribani 40 ndipo kuwa Rais wa China.wanadhani china ukiwa na influence yoyote tu Kama Donarld Trump au Kanye West unakuwa Rais wa china hayo waya ache marekani Ila sio china.
HEBU WAWASOME HAWA WATU KWANZA NDIPO WAJE KUIZUNGUMZIA CHINAView attachment 2204710
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabla yakuniuliza ubora wa siasa za UCHINA ulitakiwa unielezee ubora wasiasa za US... siasa za China zina ubora gani kuzidi za Marekani?
Ni kweli kabisa. Mzigo wa madeni wa China kwa Mataifa mbalimbali Maskini Duniani yataanza kuonekana Soon.Belt $ Road Initiative imezitumbukiza nchi kadhaa kwenye madeni yasiyolipika.
'Debt trap'
Sina lakuwaelezea hawa wakaelewa
Maana wamekua brain washed vyakutosha sana
Ila US labda imeizidi UCHINA kwenye mauaji ya raia wao kuuana kwa silaha ila UCHINA iko mbali sana
Wakisema kwamba sababu demokrsia nitawauliza ama nitawaambia wanitajie nchi tano DUNIANI zinazoongozwa kidemokrasia ambazo zimeizidi UCHINA kwenye angle yeyote yakimaendeleo au angle KUU tatu za KISIASA KIUCHUMI na KIJESHI
Nakama hakuna waniambie inamaana gani yakufuata DEMOKRASIA kama haina mana
Kwanza kabla yakuniuliza ubora wa siasa za UCHINA ulitakiwa unielezee ubora wasiasa za US
Ila ntakupa moja tu SIASA za UCHINA zimesababisha UCHINA kua na amani na USALAMA zaidi kuliko US mara 100

CHINA umewahi sikia wakilumbana kama walivyolumbana US mpaka wakavamia majengo ya bungeVigezo gani unatumia kupima ubora wa siasa za nchi?
Usalama na AMANI umewahi kusikia mauaji holela ya RAIA wa UCHINA kama yanayotokea US kila leo kuuana kwa silahaVigezo gani unatumia kupima usalama na amani katika nchi?
... neno "bora" ulianza wewe kuli-introduce kwenye mjadala huu; you are the one who is supposed to elaborate the word in the context of the Chinese politics before I elaborate in the context of the US. Hoja ulete wewe, badala ya kuifafanua upate majibu unataka uliyemletea afafanue yeye wakati majibu unayo wewe! How?Kwanza kabla yakuniuliza ubora wa siasa za UCHINA ulitakiwa unielezee ubora wasiasa za US
Ila ntakupa moja tu SIASA za UCHINA zimesababisha UCHINA kua na amani na USALAMA zaidi kuliko US mara 100
Usalama na AMANI umewahi kusikia mauaji holela ya RAIA wa UCHINA kama yanayotokea US kila leo kuuana kwa silaha
Ule niukosefu wausalama na amani wa huko US
CHINA umewahi sikia wakilumbana kama walivyolumbana US mpaka wakavamia majengo ya bunge
Ile imechagizwa na SIASA chafu mbovu nazilizochakaa za US
Hebu tueleze huyo Xi kafanya nini cha ajabu?Mfano nitajie Rais yeyote wa Sasa duniani mwenye kumfika Rais Xi Jinping wa China kwenye uongozi ? hakuna kijirais yeyote mwenye kumfikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio hoja, inategemea wananchi hao wana uelewa kiasi gani na pia hayo mataifa ya kiimla wananchi hua wana heshima ya woga sana hivyo kura yoyote ya maoni ktk nchi hizo haiwezi kutiliwa maanani kwa sababu ya namna mifumo ya kibabe inavyofanya kazi ktk nchi hizo.Alafu fatilia ripoti ya havard University kuhusu Rais anaye aminika na wanachi wa hizi nchi mbili Kati ya china na marekani uone Jinsi serikali ya marekani chini ya Biden of inavoaminika kwa asilimia chache 40% kwa wamarekani na huyo Xi Jinping unayemwita dictator na serikali yake anaaminika kwa asilimia kubwa95%na wananchi wa china
Sent using Jamii Forums mobile app