Rais Biden awataka raia wa Marekani kuondoka Ukraine. Vita vikianza hatatuma vikosi kuwaokoa

Mchina huku kamuunga mkono Argentina huko falkland ......UK kaanza kuvimba..........hapa kikinuka kila mtu atamuweka busy mwenzie......china huku na taiwan........kiduku anavyorusha yale makombora baharini ni kama mjapan nae anapewa indiketa....
 
Aiseee [emoji13]
 
NATO inatamani sana kupata washirika wa iliyokuwa USSR ili wapate kushare utaalam wa silaha za iliyokuwa Shirikisho la Urusi...
 
Hivi chanzo cha huu mzozo wa Russia na Ukraine ni nini?
Kuna kitu kimenipita hapo.
 
Porojo za kuzuia dili ya Bomba la Gas liliounganishwa kutoka Urusi mpaka Ujerumani lisianze au lisitishwe , ili auze Gas yake Ulaya. Ndio maana wenye akili wanamchora tu Mmarekani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sure mkuu.....coz anaona Kama .....Russia atafaidi Sana na ile Nord stream project
 
Daaaaah......kimeumana......kwenye hili suala nilimkubali tu mu Iran ....

Alitiishia kuwa yeyote atakaye kubali majesh ya marekan kuweka kambi pale middle East........atakufa Nae[emoji23][emoji23]
 
Raisi wa Ukraine....Alisema ... wananchi wake wapo tayari kwa mapigano
 
Putin anaamua kuichukua Ukraine wakati huu maana keshagundua Marekani chini ya Biden haiwezi kumfanya lolote uzuri NATO mwendawazimu Trump aliidhoofisha sana
Ukicheki kwa makini .....ni Kama kweli Trump .....alikuwa anatumwa......coz Kuna muda alitaka kuivunja NATO[emoji23][emoji23]
 
Hamna Nchi ya Ulaya ipo tayari kuona miji yake ikibaki magofu wamejitaidi sana kwenda Moscow lakini Russia wametoa masharti yao na wanajifanya wanagoma ngoja Ukraine inyakuliwe iwe chini Kremlin ndio NATO watafarakana
Yule jamaa.....ukicheki kwa makin ni Kama muoga flan
 
Raisi wa Ukraine....Alisema ... wananchi wake wapo tayari kwa mapigano
Shida baadhi ya wananchi wa ukraine wana asili ya urusi.......kuna vita ya chinichini hadi kwenye kanisa lao la orthodox.........kuna makanisa yamekubali kua chini ya kiongozi wa russia ....huku wengine wakitaka kanisa la Ukraine lijitenge............mrusi anaweza akaichukua hii nchi kama karata zake atacheza vizuri
 
sio utani Russia ameshafunga bahari ya nyeusi na sea of azov Ukraine amebaki kulia yupo anapiga mazoezi ya kijeshi usa na nato wameshatambua jamaa hatanii licha ya mikwara mbuzi
Boris Jonson ....kakubali kuwa umoja wa ulaya unapitia TENSION kubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…