Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Hao wenyewe mnaowaita mitume na manabii walikua wanawalazimisha watu kwa nguvu kuamini mapokeo yao.Kwa mfano dini za kikirsto na kiislamu ukiwa mfuasi hautakiwi kuhoji na ukihoji wanasema unafanya kufuru.Kwa pande zote zilikuwa zinalazimishwa. Kuna nyingine kuhusu "Spain Inquistion" ulitendeka umafia kwa waislamu na wayahudi.
Pia, kuna mgogoro mkubwa kati ya "Catholics" na "Protestants" ndani ya North Ireland hadi leo. Taarifa hizi huwa haziwekwi kwenye vichwa vya habari vikubwa.
Kwa kifupi muafrika ni KIHIYOsasa kama unaona kuna propaganda, kwani uislam una nini cha maana zaidi ya kuwa ni utamaduni wa muarabu? Muafrika ni muhanga tu kwa hao wazungu na waarabu. Bora hao wajapani na wakorea wana miungu yao.muafrika anashabikia miungu ya kigeni huku akiacha Mungu wake. Yaani amekuwa brainwashed. Hayo madini waachiwe wenyewe
Labda ukiristo ndiyo hawahoji,uislam kule watu wanahoji na ukienda kinyume na maandiko unatolewa uongozi na haya kuswalisha huswalishi,sheikh kiumbe alikoswa header msikitini baada ya kufosi kuswalishaHao wenyewe mnaowaita mitume na manabii walikua wanawalazimisha watu kwa nguvu kuamini mapokeo yao.Kwa mfano dini za kikirsto na kiislamu ukiwa mfuasi hautakiwi kuhoji na ukihoji wanasema unafanya kufuru.
Wavaa pempas je?Wavaa kobaaz wana vina saba vya shetani.
tena hao wanigeria wanatia aibu sana, wanaukumbatia uislam kuliko waislam wenyewe wa mashariki ya kati, wanauana wenyewe kwa wenyewe kipumbavu kisa diniKwa kifupi muafrika ni KIHIYO
Alisema nyerere"kuhusu hayoHizi dini za kuletwa na Meli ni majangwa tuu
Waafrika bhana yaani wanauana kwa tamaduni ya watu wengine.Wakati wenye tamaduni hiyo wanakula bata kwa pesa za mafuta na gesitena hao wanigeria wanatia aibu sana, wanaukumbatia uislam kuliko waislam wenyewe wa mashariki ya kati, wanauana wenyewe kwa wenyewe kipumbavu kisa dini
Nigeria ina utaratibu wake waliojiwekea. Kama awamu hii Rais ni Muislamu kutoka Kaskazini ambako ndiko asilimia kubwa ni Waislamu, awamu inayofuata ni ya Mkristo ambao ni wengi zaidi kutoka Kusini mwa Nigeria. Na makamu huwa ni wa dini tofauti na Rais.Kakudanganya nani!?..Jonathan ili ashinde ilibidi awe na mgombea mwenzangu muislam,Nigeria waislam ni wengi
Boko Haraam wale wanafanya kile kinachoitwa vita ya kuviziana "guerilla war". Ni ngumu sana kupambana na jeshi la aina hiyo yaani ambalo haliko organized kama majeshi rasmi ya nchi yalivyo. US alikaa Afghanistan miaka 20 na bado hakuweza kuwamaliza Taleban. Je, utasema US alikuwa na jeshi dhaifu!?Wale wapuuzi sijui inakuaje wanastawi. Huwa naiona Nigeria kama moja ya nchi yenye jeshi dhaifu sana.
Si muda utadai hata Taleban anafadhiliwa pakubwa na hao uliowataja.Chuki dhidi ya UISLAM na WAISLAM itawamaliza nyie watu
Hata muuchukie UISLAM na WAISLAM hamtaweza kuwamaliza mtawaletea tu shida za hapa na pale
BOKO HARAM kundi la kigaidi linalojinasibisha na UISLAM na WAISLAM ambalo linafadhiliwa pakubwa sana na US ISRAEL EU na NATO
BUHARI sijakufatilia ila kama umechaguliwa na WANAIGERIA endelea kupiga kazi maneno hayajawahi kuisha midomoni mwa watu
MUNGU ibariki NIGERIA na BUHARI na WANAIGERIA wote kwaujumla wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba wakiristo ni wengi zaidi Nigeria au unamaanisha nini!?..suala la dini limekua likitumika kwenye uchaguzi Nigeria kiasi uchaguzi uliopita vijana wakasema (niliowaona tv) hawataki kudanganywa kupitia dini, Nigeria zaidi ya 50% ni waislam,huko kaskazini ndiko waarabu walikoingilia tokea kwao,na kusini hasa pwani wazungu waliiingilia huko na kufanya biashara ya utumwa,lakini overall Nigeria waislam ni wengi na mgombea mkiristo sharti awe na mwenza muislam bila hivyo hatoboiNigeria ina utaratibu wake waliojiwekea. Kama awamu hii Rais ni Muislamu kutoka Kaskazini ambako ndiko asilimia kubwa ni Waislamu, awamu inayofuata ni ya Mkristo ambao ni wengi zaidi kutoka Kusini mwa Nigeria. Na makamu huwa ni wa dini tofauti na Rais.
Anyway nashindwa kukubaliana wala kupingana nawe. Nachoweza kusema sitaki kuamini mfano hapa kwetu kama kunaweza kutokea kikundi kikawa mpaka na mamlaka ya kudhibiti baadhi ya maeneo na kutusumbua muda mrefu.Boko Haraam wale wanafanya kile kinachoitwa vita ya kuviziana "guerilla war". Ni ngumu sana kupambana na jeshi la aina hiyo yaani ambalo haliko organized kama majeshi rasmi ya nchi yalivyo. US alikaa Afghanistan miaka 20 na bado hakuweza kuwamaliza Taleban. Je, utasema US alikuwa na jeshi dhaifu!?
Jeshi la Nigeria nidhamu tu hakuna, yani ni kawaida kumkuta koplo anamtukana hata kanali.Wale wapuuzi sijui inakuaje wanastawi. Huwa naiona Nigeria kama moja ya nchi yenye jeshi dhaifu sana.
Hili jukwaa la kimataifa. Haya uliyopendekeza kayaanzishie uzi kwenye jukwaa la siasa kule, tutakuja kuchangia.Huu muda uliotumia kuchambua siasa za Nigeria ungetoa ushaur juu ya changamoto za nch yako Kama
Tozo
Mfumuko wa Bei
Kukatika kwa umeme
Ukosefu wa ajira nadhan nchi ingekuwa mbali Sana
Halafu tambua mchakato wa kumpata mgombea n wa wanachama sio wa Rais Buhari
TUHESHIMU DEMOKRASIA ZA WENZETU
Huwa nashindwa kuelewa watu ni kwamba huwa wanakurupa au ndiyo tabia ya watanzania kutopenda kusoma. Mtu hajui hata maana ya kuwa na majukwaa tofautitofauti.Hili jukwaa la kimataifa. Haya uliyopendekeza kayaanzisha uzi kwenye jukwaa la siasa kule, tutakuja kuchangia.
Kwani dini maana yake Nini? Ukituambia tafsiri ya neno dini bila Shaka utakuwa umemejijibu swali lako.Wapi imeandikwa katika biblia ukristo ni dini
Zimehama kisiasa na wala sio geographically.Central Africa ni majority christians halafu haipo Western Africa ipo Central Africa na DR Congo, Gabon, Congo Brazaville, Rwanda na Burundi ambazo kwa Sasa zimehamia East Africa.