Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

Kwani Italy ni nchi ya kikristo? Kueneza kwa nguvu maana yake ndiyo nini? Hao wazungu wanaosilimu huko ulaya wanakuwa wameshikiwa mapanga?
Tatizo hii dini yenu imejaa unafiki mnachosema sio mnachokiaminisha.

View attachment 2525793
Nasikia Uhuru wa kuabudu dini tofauti na Uislamu kwa baadhi ya nchi za Kiislamu haupo. Ukibadili dini ni kama umejitangazia kifo.
 
Hao vijana uliowaona ndio wawakilishi wa waNigeria wote karibia milioni 200!?
 
Naamini Nigeria ndiyo nchi yenye wasomi wengi zaidi na wajinga wengi zaidi barani Africa.
pamoja na usomi wao lakini kuna ujinga mwingi sana. Kwa ushirikina wanavuma wao, udini wao. Kwa hili la dini kutumika kwenye baadhi ya majimbo ni kero bora wabaki na ushirikina
 
pamoja na usomi wao lakini kuna ujinga mwingi sana. Kwa ushirikina wanavuma wao, udini wao. Kwa hili la dini kutumika kwenye baadhi ya majimbo ni kero bora wabaki na ushirikina

Wewe unashabikia ushirikina itakuwa na wewe ni mwenzao 😝😝
 
Nianze kwa kuuliza ni utamaduni gani kwasasa ni unakubalika na matabaka yote.

Wa kimagharibi (marekani na ulaya)
Wa kimashariki ( Russia na China
Wa mashariki ya kati (Utamafuni wa kiislam)

Pili yawezekana kabisa mleta mada katoa taarifa hizi kutoka kwa mchungaji wake wa kilokole.

Else atupatie source ya taarifa yake.

Tatu yaelekea kabisa kuwa mleta mada ni muathitika wa information warfare.

Vita kubwa iliopo na inaendelea duniani ni vita vya taarifa, especially 'Disinformation'. Anaelewa maana yake au kajiingizwa kichwa kichwa.
 
pamoja na usomi wao lakini kuna ujinga mwingi sana. Kwa ushirikina wanavuma wao, udini wao. Kwa hili la dini kutumika kwenye baadhi ya majimbo ni kero bora wabaki na ushirikina

Nasikia Uhuru wa kuabudu dini tofauti na Uislamu kwa baadhi ya nchi za Kiislamu haupo. Ukibadili dini ni kama umejitangazia kifo.
Ungezitaja hizo nchi ambazo uhuru wa kuabudu hamna. Ukiamini vitu vya kusikia hata kwa maisha ya kawaida itakupelekea kuamini tuhuma za kitu fulani ambazo hazina ukweli bila kuchunguza.
Karibia nchi zote zenye waislamu wengi kuna wakristo na wamejenga makanisa. Ingekuwa watu hawataki wakristo waabudu, wangezuia hayo makanisa kutokana na wingi wao.
 
HII NI UONGO na hauna MAANA YOYOTE. NIGERIA IMEWAHI KUONGOZWA NA MARAIS WAISLAM MFULULIZO TANGU
BUHARI, BABANGIDA, na ABACHA.
 
HII NI UONGO na hauna MAANA YOYOTE. NIGERIA IMEWAHI KUONGOZWA NA MARAIS WAISLAM MFULULIZO TANGU
BUHARI, BABANGIDA, na ABACHA.
Acha ujinga na upumbavu. Unataja watu waliochukua nchi kwa mapinduzi ya kijeshi! Wanajeshi wanapopindua huwa wanazingatia hilo!? Weka "CARD" ili network isome.
 
Huo uhuru wa kuabudu unaleta wewe. Nilichoandika sio hiki unachojaribu kusema hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…