Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Tangu 1995 tunasusia kimebadilika nini?
Tuache siasa za chuki tusonge mbele.

Isitoshe miaka yote hiyo wazanzibar tunasusia nyinyi watanganyika munaenda bungeni hata hamjali kuhusu sisi leo kibao kimewageuka ndio mnajifanya wapinzani kweli.

Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Ukweli unaujua vizuri sana. Unajifanya tu mjinga nyuma ya key board.
Kati ya maalim Seif anayeapa kwa kushika quran kwa imani yake ni kitabu kitakatifu na wewe unayepayuka kwa kubofya batani za Tecno yako hapo nani mjinga zaidi anayeujua ukweli? Mimi nasema hivi naungana na ukweli wa Seif kuwa hakushinda nafasi yake ni hiyo na aliyeshinda kamuapisha. Sasa wewe jitie ujinga kunibishia na kumbishia mgombea.
 
Tangu 1995 tunasusia kimebadilika nini?
Tuache siasa za chuki tusonge mbele.

Isitoshe miaka yote hiyo wazanzibar tunasusia nyinyi watanganyika munaenda bungeni hata hamjali kuhusu sisi leo kibao kimewageuka ndio mnajifanya wapinzani kweli.

Kila mtu ashinde mechi zake.
Watanganyika wa ACT waliwapa hifadhi pindi hawa mnaoungana nao walipowapora chama cha CUF.

Hapo hakuna cha kuitetea Zanzibar, bali ni kushibisha njaa ya Maalim na genge lake tu.
 
Uzuri wa kuteuliwa ukijifanya mjanja unatimuliwa.
 
Kati ya maalim Seif anayeapa kwa kushika quran kwa imani yake ni kitabu kitakatifu na wewe unayepayuka kwa kubofya batani za Tecno yako hapo nani mjinga zaidi anayeujua ukweli? Mimi nasema hivi naungana na ukweli wa Seif kuwa hakushinda nafasi yake ni hiyo na aliyeshinda kamuapisha. Sasa wewe jitie ujinga kunibishia na kumbishia mgombea.
Mkuu Dk Mwinyi ndiye anayemchagua makamo wa kwanza. Yeye hupelekewa majina na chama kilichopata ushindi wa pili na kuteua jina la makomo wa kwanza.

Kwa hiyo kaona Seif ndio anaemfaa.
 
Tangu 1995 tunasusia kimebadilika nini?
Tuache siasa za chuki tusonge mbele.

Isitoshe miaka yote hiyo wazanzibar tunasusia nyinyi watanganyika munaenda bungeni hata hamjali kuhusu sisi leo kibao kimewageuka ndio mnajifanya wapinzani kweli.

Kila mtu ashinde mechi zake.
Kuna mabadiliko makubwa mama yako alikuwa anavaa under skirt sasa hivi anavaa bikini
 
Wale ambao ndugu zao wameuwawa sijui wanajisikiaje.
Bongo ukiambiwa jambo changanya na zako, hapa sisi;
Tuna mpira wetu
Tuna siasa zetu
Tuna mziki wetu
Tuna movie zetu
Yani sisi maisha yetu yapo kivyetu vyetu hatutabiliki
 
Watoto wadogo kifikira japo wa kubwa kiumri hapa JF ndio hawajui nn maana ya siasa.Siasa ni biashara hawa kina Zitto na Mbowe ni wafanyabiashara sio watu wa kuwaamini ndio maana mm niliamua kuachana na siasa za upinzani na kuunga mkono Juhudi za Magufuli sababu niliona japo kaingia kwny siasa lakini bado kumbwe ni mwana sayansi kwake moja plus one ni mbili .

Mbowe anavuta posho kutoka kwa wale Covid 19 na maigizo yao,huku Maalim na Zitto wanakula posho ya umakamu Zanzibar wakati yule wa Singida Singidani kawatelekeza raia huku Tz yupo Belgium anakula bata kule Dubai na Mr Salt.Ukweli mchungu kuumeza😂😂😂😂😂
 
kila la heri
Mbona kinyonge Sana [emoji23]
Endelea kuwa mpole series yetu bado haijaisha bado Kuna episode mpya ya wale Covid19 ambayo ipo karibuni kutoka muendelezo wake.

So stay tuned kamanda.
 
Mbona kinyonge Sana [emoji23]
Endelea kuwa mpole series yetu bado haijaisha bado Kuna episode mpya ya wale Covid19 ambayo ipo karibuni kutoka muendelezo wake.

So stay tuned kamanda.
hujui kitu chochote
 
Chama cha upinzani kwa siasa za Tanzania ni kimoja tu
 
Back
Top Bottom