Augustine Genius
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 1,216
- 1,486
Dah!😂😂😂😂Kuna kipindi aliyekuwa Makamu wa Rais Bilal kazi yake kuu ilikuwa kukata utepe wakashauri awe anatembea na mkasi mfukoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!😂😂😂😂Kuna kipindi aliyekuwa Makamu wa Rais Bilal kazi yake kuu ilikuwa kukata utepe wakashauri awe anatembea na mkasi mfukoni.
Hebu tuaonyeshe hapa hiyo barua aliyosaini Rais SamiaIbara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Tutajie Rais yeyote ambaye huwa anaongozana na Makamu wake nje ya nchiNa sikuwahi kuona Raisi akienda na makamu wake huko Dubai kwa wajomba zake anaotaka kuwapa Bandari zetu kwakisingizio cha uwekezaji.
Tuwekee hapa hizo barua alizosaini akiwa njeBarua Za uteuzi zinasainiwa Akiwa Doha?
Lini Magufuli alisaini documents Za umma Akiwa nje?
Huyu mama huko nje atasaini kila kitu, hamtaamini!
Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.!Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Ni kweli, hata mama alikuwa waziri mkuu kipindi cha maguTuki lalamika mnatuona wajinga.
Tanzania swala la makamu wa raisi ni kupoteza pesa tu.
Hakitoka raisi anakuja waziri mkuu akikosa waziri mkuu ni spika wa bunge.
Wakikosea wote mkuu wa majeshi au jaji mkuu basi labda kunatatizo
Mkuu, kama nimekukera, naomba unisamehe. Halikuwa lengo langu kukuudhi!Mzandiki mkubwa wewe, hujawahi kuona au kusikia Makamu akimuwakilisha Rais mikutano ya nje, au ndo ile philosophy ya "ukitaka kumuua mbwa, mpatie jina baya".
Hasidi hana sababu.
Sio vyema kuwa mpotoshaji.Mkuu, kama nimekukera, naomba unisamehe. Halikuwa lengo langu kukuudhi!
Makaimu atakaimu mengine lakini sio uteuzi.Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Awamu hii mtapasuka kwa kutema nyongo, kazi bado mbichi tulia ndg yanguMzandiki mkubwa wewe, hujawahi kuona au kusikia Makamu akimuwakilisha Rais mikutano ya nje, au ndo ile philosophy ya "ukitaka kumuua mbwa, mpatie jina baya".
Hasidi hana sababu.
Alikuwa anateua kutokea Chato...angekuwa ni mtu wa kusafiri naye angefanya hivyo hivyo!Barua Za uteuzi zinasainiwa Akiwa Doha?
Lini Magufuli alisaini documents Za umma Akiwa nje?
Huyu mama huko nje atasaini kila kitu, hamtaamini!
Tuwekee hapa hizo barua alizosaini akiwa nje
Weka hiyo barua aloyosaini !
Tuoneshe hiyo barua ya uteuzi uisemayo.
Onesha hiyo barua alosaini Rais upate milioni moja ya Kenya.
Kenge wewe
It is plauseable!Mpango ametengwa kwasababu alipinga nchi isiuzwe kwa waarabu
Hizo zilikuwa fitina za mkwere na inferiority complex yake dhidi ya Dr. Bilal aliyekuwa more enlightened kuliko yeye!Kuna kipindi aliyekuwa Makamu wa Rais Bilal kazi yake kuu ilikuwa kukata utepe wakashauri awe anatembea na mkasi mfukoni.
Anamuamini....Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Hewalaaaa[emoji2956][emoji2956]Siku hizi kuna technology dinia imekua kijiji popote unaweza akasaini barua na kufanya mawasiliano sio kile kipindi cha 1977 wakati katiba inategenezwa, kazi ya makamu wa raisi siku hizi ni kutembelea ni kuzindua miradi ya serikali kwa niamba ya raisi uko mawolayani.
Zanzibar si nchi....Si hilo tu, hata baadhi ya mikutano nje ya Nchi, Rais tunaona anawakilishwa na Rais wa nchi jirani, Zanzibar! (Majuzi alikuwa Cuba)